Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanajaribu kumiliki mpira huku wakitafuta goli.
 
Tunawachapa tu hawa ...... ....... . ....... .... 2 mtungi .... ....
Hata kiwanja hawana, hawachekani na Chelsick kwenye cowshed.
 
Demba Ba is trying to make a meal out of it, kwanini ajidondoshe kwa kukosea mwenyewe kumiliki mpira?
 
Calum Chambers anacheza superbly kabisa kummiliki poor Demba Ba, so far.
 
Sanchez angechezeshwa katikati au Giroud angeenda kushoto.
 
Alexis Sanchez anajaribu sana kuwatafutia nafasi Olivier Giroud na Cazorla lakini wanakuwa wanachelewa kufika eneo la tukio golini mwa Besiktas.
 
Besiktas wametawala sehemu kubwa ya kipindi cha kwanza. Arsenal tunahitaji kuondoka na atleast away goal, kama sio ushindi. Come on Arsenal!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…