Msimu huu tunaonekana tuna pace mbele lakini tunakosa sharpness. Inaweza kuwa ni nervous za mwanzoni mwa ligi au kwa vile bado hatujafunga goli. Katikati bado panahitaji marekebisho kabla hatujacheza na kina City, United, Chelsea, Liverpool, Everton, Stoke, spurs.