Hahaha sisi tumewafunga manchester zote....salam kwa ndugu zao united
Naomba Leo uwaorodheshe Gunners wenzako ili wakianza kukimbilia MMU tuwatafute
Ukweli ni kwamba katika mashabiki wenye roho ngumu na die hard fans ni mashabiki wa Arsenal...Huwa hatukimbii sisi...
Tofauti na mashabiki wa Man Utd...Ambao hamkimbii ni wewe Belo , Nzi na Mfarisayo...Na Chelsea ni jirani yangu Peasants, Ntuzu na Mentor basi..Hao wengine ni plastic fans almaaruf kama Glory hunters
utafiti Acha fujo bhana! Yani Leo kuwaangukia hao manshit ndo unaanza kututafuta?
Ukweli ni kwamba katika mashabiki wenye roho ngumu na die hard fans ni mashabiki wa Arsenal...Huwa hatukimbii sisi...
Tofauti na mashabiki wa Man Utd...Ambao hamkimbii ni wewe Belo , Nzi na Mfarisayo...Na Chelsea ni jirani yangu Peasants, Ntuzu na Mentor basi..Hao wengine ni plastic fans almaaruf kama Glory hunters
Hongereni kwa ushindi,
From theatre of dreams
New boy in town .... ....
Sanchez oozed class against City and was more than
a handful for the Premier League champions
Hot shot: Sanchez gets his strike away during the Community Shield victory
over their Premier League rivals
Composed: Sanchez led from the front for Arsenal at Wembley
against Manuel Pellegrini's City
Chase: Sanchez battles with Yaya Toure for the ball at Wembley
as Arsenal won the Community Shield
Ansanteeeee.
Vipi hujaumia tu kwa mara nyingine??