Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah...Kidogo Nasri awazibe mdomo mashabiki wa Arsenal...

Bonge la counter attack
 
Tunatishaaaa!!!! Nawaona akina Nzi na mwenzie Belo wanachungulia kwa mbali ili waje kutoa kejeli kama tutafungwa, nina wasiwasi kama watapita huku leo khe khe khe khe khe
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Page #ArsenalHaters Belo, Nzi, Mndengereko, DonDonald,Bulldog,Prondo najua ni just Community Shield lakini linatambulika kuliko Guiness ICC.
Come on Ramsey, Sanogo, Cazorla, Sanchez
 
Tunatishaaaa!!!! Nawaona akina Nzi na mwenzie Belo wanachungulia kwa mbali ili waje kutoa kejeli kama tutafungwa, nina wasiwasi kama watapita huku leo khe khe khe khe khe

Na wana bahati Walcott , Mertasacker mzee wa vichwa, Chamberlain, Ozil na Giroud hawajaanza Leo.
 
Last edited by a moderator:
Mie nakwambia wachaaa Mkuu Balantanda muziki wetu mwaka huu ni moto wa kuotea mbali, tuombe tu tucheze mbali na majeruhi ya kutisha tukiepuka majeruhi basi tutatesa sana kwenye EPL na hata UEFA pia.

Na wana bahati Walcott , Mertasacker mzee wa vichwa, Chamberlain, Ozil na Giroud hawajaanza Leo.
 
Arsenal wanafanya sub 3...

Monreal..Giroud na Chamberlain wanaingia
 
Giroud sio wa kuaminiwa,mimi sinaga imani nae anaweza kucheza vizuri au akahiribu na kujiangusha kwake
 
Naona Wenger anataka kum turn Monreal kuwa CB, sijui kama itaweza kuwa nzuri hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…