Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu wa Gunners msiwe na wasi wasi, vidonge ninavyowapa wapinzani ni vikali sana IP yangu inafungiwa mara kwa mara .... ...... naona watazoea tu.








BTW vijana wako poa sana, wamefanya mazoezi ya mwisho mwisho na tunawategemea kesho kuona jinsi watakavyokwaana na
Mancs ..... ... bring them on!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Acha maneno mengi subiri dk 90 ziishe

Hahahha....
Nilikuona kule MMU eti umewa miss,
Yaani na mapema mshaanza tafuta pa kuficha nyuso zenu ee?!

Hii leo ni pre-season tu kwetu, dakika 90 zikiisha bado tutabanana humu mpaka #May2015 panapo uzima..!

Karibu bana...hehhhe


#MosKwito !
 
F u ckin british Weather fungeni Mancunian hao warudi kwao kwa wajinga wenzao Mashetani! Mtu unajisafu Mie Devil inakuja kweli? Hata Mungu hapendi.
 
F u ckin british Weather fungeni Mancunian hao warudi kwao kwa wajinga wenzao Mashetani! Mtu unajisafu Mie Devil inakuja kweli? Hata Mungu hapendi.

.....hii weather storm ishaaribu gemu kwa kiwango fulani, #Wembley chakachua kweli uwanja huu!


#MosKwito !
 
Aaaaargh.. Wanazi wa Arsenal bado wana machungu na Nasri?..Naona wanamzomea kinyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…