mkuu amini kitu kilichotangazwa ktk Arsenal.com sio ktk Twitter, Daily mail,Daily Star ,goal.com,etc . kwa kifupi ukisikia hii trade imekuwa confirmed na Arsenal wenyewe ndo uamini ama sivyo ni speculation zisizo na kichwa wala miguu
mkuu amini kitu kilichotangazwa ktk Arsenal.com sio ktk Twitter, Daily mail,Daily Star ,goal.com,etc . kwa kifupi ukisikia hii trade imekuwa confirmed na Arsenal wenyewe ndo uamini ama sivyo ni speculation zisizo na kichwa wala miguu
Mkuu wewe ni Arsenal fan ama?
Hii habari haijatoka mahala popote kati ya hizo source ulizotaja.
Hata hivyo karibu Arsenal Suppoters Trust.
Au ingia kabisa kwenye tovuti arsenaltrust.org
Mkuu nadhani tumepishana lugha. nilichomaanisha ni kuwa baadhi ya sources mfano wa nilizozitaja huwa haziwi za kweli. Mfano msimu uliopita kuna source kibao zilikuwa zinasema Arsenal wameshasajili Higuan, Draxler unajua kilichotokea. Kama umesahau Arsenal ni moja ya timu ambazo usajili wake unakuwa siri sana (mfano usajili wa Ozil ulivyokuwa siri hadi walipotangaza) ndo maana nimesema hadi itangazwe katika website ya Arsenal ndo itakuwa uhakika, na uanze kushangilia. Juu ya hizo source sasa hivi kuna tetesi kibao online e.g Twitter, na web za magazeti kadhaa ya UK juu ya kukamilishwa kwa usajili wa Sanchez na Debuchy ndo maana nimesema nilivyosema.
Bomba mno...kaenda kutazama kandanda inayochezwa atakavyo..
Wakuu mpo?
Ama kwa hakika kuna patashika na mchana wa leo Arsenal wameongeza dau kwa Alexis Sanchez na limefikia milioni 32 paundi.
Barcelona wamekubali dili hilo pamoja na mpango mzima wa malipo.
Counter attack hiyo imefanywa na Arsenal baada ya timu za Man City, Man Utd na Chelsea pamoja na Liverpool kuanza kuweka madau yao kwa mchezaji huyo.
Lakini Sanchez na wawakilishi wake wameona sense na kukubali hiyo offer ambayo ni kubwa kabisa kutokea kwa Arsenal kusajili mshambulaji baada ya ile milioni 42 waliyotoa kwa kiungo Mesut Ozil.
Wenger bado yupo Brazil mpaka Jumapili ijayo ndipo arudi London na Ivan Gazidis na Dick Law pamoja na wataalam wengine wa negotiations wapo Brazil na London kumalizia mambo.
Kama mambo yatakwenda ilivyopangwa, tarehe 10 mwezi huu Arsenal watatangaza aina mpya ya uzi wa Puma ambao umebeba deal la paundi milioni 150 ambazo ni pesa nyingi sana kuweza kutolewa kwa timu ya PL kama ya Arsenal. Pia wachezaji wa timu hio watapiga picha ya pamoja kuonyesha kikosi kamili na huenda wachezaji wapya wakawemo.
Dau hili la ufadhili linazidi paundi milioni 30 ambazo NIKE walikubaliana na Manchester Utd miaka kadhaa ilopita.
Hebu tuangalie recodi ya Sanchez akiwa Barca.
Meneja Arsene Wenger amewekea umuhimu usajili wa Alexis Sanchez.
Bold kashika usukani wakati Prof yuko Brazil .. ..