kumbuka mlikaa miaka 8 bila kutufunga mkaja kubahatisha 2004 uefa baada ya uchovu wa wachezaji
na juzi tukabahatisha kuwafunga 6-0 eeh!
Enzi zenu zimeisha aisee..🙂

zile 5 za daraja la mabua umeshasahau?
enzi zinaisha kwa ubingwa?
Nyie uguzeni vidonda vya kutoka kapa msimu uliopita,sie wacha tuenjoy
sijasahau; si ilikuwa 5-3 mwaka 2011?
sasa ona tofauti kati ya 5-3 na 6-0 au hakuna tofauti?:A S 39:
hata sisi tunainjoi kivyetu vyetu.
Kuwafunga midomo: Man utd, liverpool fc, man city fc, arsenal fc, spurs msimu mzima raha iliyoje!🙂
Katika mechi za msimu uliopita yaani msimu wa 2013-2014.
CHELSEA FC vs ARSENAL FC tumekutana mara 3.
Kwenye capitol one cup - Emirates Stadium.
Chelsea 2 - 0 Arsenal fc.
Cheki master baada ya kutoa kichapo.
Mechi ya pili kwenye premier league: Emirates Chelsea Fc 0 - 0 Arsenal Fc.
Mechi ya tatu Stanford Bridge - SW London.
Chelsea fc 6 - 0 Arsenal Fc.
Kwa msimu mzima ARSENAL FC hawajafunga hata goli moja kwenye mechi ya Chelsea fC.:israel:
Zungumza maneno yote kuna timu kubwa tatu uk arsenal man u na liver darajani hamna historia
kuna tofauti kubwa kati ya TIMU KUBWA na TIMU BORA.
arsenal timu kubwa; CHELSEA FC TIMU BORA.
timu bora ya uwoga na mpira mbovu usiokuwa na formation?kila mchezaji mnataka nyinyi kwa kuogopa akisajiriwa na timu nyingine ya epl itakuwa shidah kwenu,
na mandzukic pia mwamtaka!costa?mwisho yanaishia kuwa maflop mnayatoa kwa mkopo,hv yule van ginker yupo?

nyani haoni....
vipi hawa?
GERVINHO. mlimnunua kwa paundi milioni 10, mkamuuza kwa paundi milioni 8.huyu alikuwa FLOP AU HAKUWA?
MAROUANE CHAMACK. vipi huyu jamaa?
FRANCIS JEFFERS, mlisajili toka EVERTON mwaka 2001 bonge la FLOP.
ANDREY ARSHAVIN, vipi huyu imekuaje tena?
PARK CHU-YOUNG..mlidhani kila MKOREA ni mchezaji wa kusajili..
ha hahaha..MSIDHANI HATUJUI YA KWENU MAJIRANI..TULIENI.:israel:
jamani tuachieni chama letu..........