Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!
manUnited na Everton watoke 0-0 au 10-10.
 
Goooo podosky anaachia jiwe kali mpaka golini na anaipatia aseno bao la 2, dakika ya 45.

Asn 2 Hul 0
 
Nishajongea huku kaka
 
Last edited by a moderator:
Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!

teh teh teh old z gold mkuu pamoja sana.
 
Goli jengine Zuri Aaron Ramsey Arsenal walimmiss game hii ni trailer tu movie yenyewe ni Final FA cup!
 
Ts half time with two goals from Aaron Ramsey and Lukas podolsk.
 
Duh ulikuwa kwenye kichwa changu nilitaka kusema neno Besela nikaona nitaonekana wa zamani hehehe Leo nawapa Nguvu wale watani na mpinzani wanaocheza baadae watoe tu draw!

Ipo hiyo kaka, besela. Mtambaa wa Panya ila inavyotamkwa sasa "mtamba'a panya"
 
Duh mpira uishe tuchukue ndoo yetu tumeshachoka lile jina la trophyless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…