Arsenal (The Gunners) | Special Thread

QUOTE: Roy Keane: "These Arsenal players need a reality check. They're celebrating beating a Championship team." http://t.co/FiP6vtOSD4

Well said Keano...
Hivi kwa mfano, ingekuwa Man Utd ndio mmeifunga Wigan, msingeshangilia kuingia Final?....

Keane naye kama Kocha hana tofauti na Wenger = Failures
 
. umesema kweli Kabisa mara ya mwisho LFC tulishinda na. Cardiff kwa. Penalt Final wacha tu Arsenal washangilie wangefungwa si wangenuna? Alichoongea Roy Keane kanifurahisha yeye mwenyewe Mie hata niifunge timu daraja la 100 nitashangilia sababu tukifungwa watashangilia wao. Japo Mie sio Arsenal hapo Roy Keane kachemsha.
 
Kama Arsenal watalibeba hili kombe media za UK zitabadili wimbo wa Trophyless season wataanza kuimba 10 years since Arsenal won the league blah blah blah..Just Watch and pray Arsenal win the FA cup.
 
Kama Arsenal watalibeba hili kombe media za UK zitabadili wimbo wa Trophyless season wataanza kuimba 10 years since Arsenal won the league blah blah blah..Just Watch and pray Arsenal win the FA cup.

Eh! Wenger na Maureen si ndiyo 'madarling' wa English media?!?
 
 
Duh Barcelona nae kapigwa...huu mpira kweli kichwa cha mwendawazimu
 

Unajua kwann walishangilia ile 4th position?
 
Hongera Asenane kwa kuingia final ila nawakumbusheni kasomeni ubao wa msimamo kuna mchawi anataka mshiriki europa!! Hahahahaha!
 
Hadi Mei 17, Koscielny, Ozil, Wilshere nadhani watakuwa fit plus bonus ya Diaby tutakuwa na nafasi nzuri katika selection ya wachezaji.

Metersacker,Ox,Sagna,Ramsey na Sanogo watarudi wodini
 
Kumzidi Spurs.

Sawa umepatia lakini jibu lako halijajitosheleza... kumbuka spurs game alichemka na si tukihitaji ushindi tu, manake hata si tungedroo ndo ilikuwa kushney...tukihitaji ushindi wa aina yoyote ile given kwamba tukishinda hata spurs angeshinda basi tungepita tu
 
 
Metersacker,Ox,Sagna,Ramsey na Sanogo watarudi wodini

ebana siwezi kubisha kwa hili, inaweza kutokea. Arsenal wana rekodi mbovu kwa kupata majeruhi wengi, nadhani kuliko top teams zote za England
 

Keane amesahau kwamba hakuna mchezaji yeyote wa Arsenal (current squad) aliye na medali ya EPL,Carling au FA hii ndio only chance iliyopo huenda ikawachukua tena miaka 10 kupata hiyo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…