Nimerudi kidogo kuja kuangalia mtanange
Timu haichezi vizuri sjuwi kwanini lakini bado tuipe nguvu
Kati tumepwaya sana Mbele Giroud hayupo kwenye gemu, ikiwa mpira haukai mbele munasababisha mashambulizi kwetu, nyuma TV 5 mzito wa maamuzi
Tuombe Mungu