Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ni nn mzee mpini ama? mbona kama umeumia sana na hizo timu mbili
 
Timu ambayo haina bahati hapa Duniani ni Arsenal.
Timu ambayo inachukiwa na marefaree hapa duniani ni Arsenal.

Timu ambayo wachezaji wake hawawezi kumzonga refaree hata kama mwenzao kaonewa ni Arsenal
Timu ambayo ikishafungwa goli 2 bila wachezaji wake wote wanachanganyikiwa na kufika goli 6 ni Arsenal.

Kuipenda Arsenal yahitaji uwe na kichwa cha mwendawazimu na moyo wa chuma kama ilivyo mimi.
 
mkuu hongera kwa kuwa na moyo mgumu, ndo inavotakiwa, usikate tamaa
 
mbona mshawafunga city tayari? Au wenga hajui hilo?
Mkuu niko hapa nacheck game LIVE...ila siyo siri kwa leo napenda Man City watufunge tu.
Sisemi kama Arsenal tukishinda nitachukia la hasha ila sitafurahia kabisa...naomba tutoke droo au tufungwe ili
Chelsea wakose ubingwa.
 
hata mi sipendi chesi wachukue ndoo, wanamaneno sana
 
Mkuu niko hapa nacheck game LIVE...ila siyo siri kwa leo napenda Man City watufunge tu.
Sisemi kama Arsenal tukishinda nitachukia la hasha ila sitafurahia kabisa...naomba tutoke droo au tufungwe ili
Chelsea wakose ubingwa.

I hate u...shindwa kabisa, game hii tukishinda tutakuwa real contender kule juu
 
The Gunners wangekuwa wanakomaa mechi zote kma Leo. Huyu mwenye jina la kirangi jeroo ah Giroud anauzi kweli
 
ubaya wa man city hata ucheze vipi, dakika za 80 huko lazima toure akupige tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…