Leo Arsenal atashinda,mpaka dakika hii ya 17 hawajafungwa!
"Nlikuwepo":bolt:
kimenuka.
Duh nawafuatilia wakuu kutoka huku juu ya mti..leteni update za maana game iko vp, wapu tumewashika? Wapi pako pabovu and all..mi muda wote narefresh page tu, siogopi nyoka pande za huku ila baridi tu inanipiga..
Mbu Wacha1 Katavi dully jr Piere. Fm Balantanda na wengineo nawahitaji hapa.
Pole Ntuzu Mentor Morinyo
goooo.... Man city wanaandika bao la kwanza hapa. Sasa ubao unasomeka ars 0 - man ct 1 dak ni ya 18
Nini tena? Funguka
Poa still tunakomaa
Flaminiiiii...oopss, offside.
Nini tena? Funguka
Refa kakataa goli? Kweli City anabebwa kwa mbeleko ya shaba
hapana mkuu mi nimeona anko tom kaulazmisha mguu wake kwa beki wa city, siyo penati
Duh,,,,,,leo hali bado mbaya,
Ok sio inshu tunaomba tu asiwe bias...hawa leo tutawashika tu