tulipigwa 2-1 tukiwa na wakubwa nje... Gerro, Sturridge, Johnson, Agger, etc
Tena mlitumia ile mbinu ya faulo za kimyakimya, siku hizi hizo hakuna... mtapigwa tu
kuhusu kusema hamna timu ya kimfunga asenane, mkuu naomba uonyeshe wapi nimesema... maana huwa sicooment sana kuhusu soka hasa kwenye thread zenu
Haya mkuu hold on to your words si mbali sana nitakuomba uyatamke tena.
I believe in Chelsea and the special happy one.
Kama kwako Agger, Sturridge (chelsea reject) na johnson ni wakubwa wa timu yenu then i fear for the beating you will receive come that day.
Wait a minute uliona jinsi Johnson alivokuwa akipitwa na madogo wa Cardiff jana, huyo Agger alivopewa shida na kale ka Campbell honestly unadhani wanaweza kumkaba nani kwenye forwards za Chelsea? Maana hata akiwekwa T. Kalas hiyo siku nahisi atawatoka tu.
Pata picha Per na Kos walivyopata shida kutuzuia jana unitajie kikosi kitakachoipa shida Chelsea.
Ila kama lengo lako ni ushabiki then HAKUNA TIMU EUROPE YENYE UWEZO WA KUMFUNGA LIVERPOOL. #HAPPY ????!
Manure na spurs waondoe... hao ni mediocre teams
Okay.. tumefungwa vibaya.. Full Stop.
Okay.. tumefungwa vibaya.. Full Stop.
Poleni Wanaarsenal wenzangu wote,kufungwa ni kawaida kwenye soka,mbona Madrid kala nne,haikua siku yetu.
Poleni Wanaarsenal wenzangu wote,kufungwa ni kawaida kwenye soka,mbona Madrid kala nne,haikua siku yetu.
Kala 3 - 4 . Ni tofauti sana na 6 - 0 au 5 - 1 au 6 -3 . 6 - 0 means hamfurukuti hata kwa kubahatisha....read that mkuu!!!
Commentator alinifurahisha sana eti why 8,why 6,why 5 ameshindwa kujua kwa nini Prof hana haya majibu
Kaka I will only be brown or whatever when prof the specialist atakapochukua kikombe hata cha FA ndogo ile ya madogo wa chelsea waliowapiga West Brom 2.....Why are you so black baba Sharon...are you South Sudanese?
Poleni Wanaarsenal wenzangu wote,kufungwa ni kawaida kwenye soka,mbona Madrid kala nne,haikua siku yetu.
Madrid kala 4-3.
Arsenal kala 6-0.
hujui tofauti?