teh teh teh teh! Leo lazima Adebayo apige salute za kutoshaa
Hakuna game ya kupoteza Hasa Wakati huu zikiwa zimesalia game 10 na historia yaonesha Mourinho hajawahi kupoteza ubingwa Hasa wanapofikia hatua hii!
Subiri uone kz Leo!
Na tusubiri tuone maana ni katika pitch ndio watu wanafanya kazi.
Umekua mpole!!!!!
Tunashukuru kwa picha nzuri wacha, bomba mno...
Spurs tunawanyonga kama kawaida yetu.Wekend ijayo mnakutana na Spurs alienyongwa! Lazima Arsenal mnyongwe!
Spurs tunawanyonga kama kawaida yetu.
Wekend ijayo mnakutana na Spurs alienyongwa! Lazima Arsenal mnyongwe!
NAAM AMENITUMA, NAAM NIMENENA!
Hakuna Arsenal itakayofungwa na Spurs
Hiyo futa delete kabira!
Dah Noma Arsenal watacheza na mshindi kati ya Wigan/Man City semi-final. Come on Wigan!!!!!
Dah Noma Arsenal watacheza na mshindi kati ya Wigan/Man City semi-final. Come on Wigan!!!!!
Mara ya mwisho kilichokupata Etihad unakikumbuka,Kibaya zaidi City nae huenda akatolewa Champions League
Dah Noma Arsenal watacheza na mshindi kati ya Wigan/Man City semi-final. Come on Wigan!!!!!
duh hapo kuna mtanange wa hatari huo tusubiri tuone.