dakika ya 34 stephen gerrald anamwangusha mathieu flamini na kumgandamiza kichwa chini lakini ni flamini anaepewa kadi ya njano!
Kadi haitolewi tu kwa kumwangusha mtu na kumkandamiza chini matusi pia utakayotoa baada ya kukandamizwa chini yanakusababishia kadi.
Mbona mnatoa sababu mapema...
Sasa kama Wenger ni failure na sisi wana Arsenal tumeridhika ni kipi kinawauma wewe na Mourinho?.....
Mnachekesha sana nyie watu....Wenye timu wametulia, hawaumii na failure ya AW...Lakini #Mburukenge kinawauma....
#Hayawahusu ....
#YaNgoswe .......
Sio Sababu Mkuu. Tumejiwekea Malengo Mwaka Huu Tuwe Top 4 Mwakani Ubingwa
Hawa mpaka tuwashikishe adabu mkuu,hivi hivi watatuona tunaongea sana.
"Nlikuwepo":bolt:
leo tukifungwa nipige ban ya saa 24,,,,,,
#YaNgoswe ......Kamuulize Arsene Wenger (PhD in Failureology) kinamuuma nini baadhi ya timu kuogopa kushindwa?
Mkuki kwa nguruwe arifu eh? Si nyiye mnajaza thread ya #ManUnited kwa kutuita mid table club, oh, mara DM hawafai na ----- mwingineo. Sasa ukiwa na nyumba ya vioo, husipende kurusha mawe kwa majirani zako.
Kamuulize Arsene Wenger (PhD in Failureology) kinamuuma nini baadhi ya timu kuogopa kushindwa?
Mkuki kwa nguruwe arifu eh? Si nyiye mnajaza thread ya #ManUnited kwa kutuita mid table club, oh, mara DM hawafai na ----- mwingineo. Sasa ukiwa na nyumba ya vioo, husipende kurusha mawe kwa majirani zako.
teh teh utakuwa unahatihati ya kukimbia jukwaa sio bure..
Podolskiiiiiiiiiiiiiiiiii
2-0
acha kuweweseka wewe tumewashika vibaya leo.