Mbona hamkutufunga Gunners?
Wenger kakutana na wakala wa RVP kuus kurudi Gunners msimu wa majira ya joto
Aisee kumbe kuna watu wana akili sana yaani failure alipwe £8million kwa mwaka wakati kuna wale wanaojiita sio failures wanalipwa pesa kiduchu ....... ...... ....... safi sana COYG.
BTW naona Failure maana yake ibadilishwe kwenye kamusi tutumie kamusi ya Morinyo na makuwadi wake wa Manure
Usikimbie tu Jukwaa usiku..!! Manake leo tumekunywa "Kifaru"Arsenal Leo Lazima Wakae
Game sa ngap?Wazee wenzangu wa Arsenal, Naona Mancity Karudisha Heshima Jana, Je Sisi tutaweza Leo?
Striker Bendtner na Sanogo.
game saa ngapi?