Rubaman nilistuka nikajua umekuwa United ila umesema kweli kukosa UCL inauma kweli mie nalijua hilo. Anajaribu tu kufanya ubishani yote machungu ya timu ndio inavyokuwa.Kukosa UCL, hakutanifanya nisiendelee kushabikia United. Hata twende Championship, nitakuwa nayo tu
vizuri kuendelea kushabikia timu uipendayo hata ikiwa Conference ndo inavyotakiwa. Lakini kubali kuwa kukosa UCL under Moyes kuna kuuma sana Nzi
Rubaman nilistuka nikajua umekuwa United ila umesema kweli kukosa UCL inauma kweli mie nalijua hilo. Anajaribu tu kufanya ubishani yote machungu ya timu ndio inavyokuwa.
Vile vile kumbuka, hao unasema unawamiss, nao walikula goli 6-1 mbele ya #ManUnited huku Yorke akitupia 3!!
Thanks Gunner.
what a terrible game!
Nilisema mapema kuwa, kuwakosa Aaron Ramsey na Theo Walcott ni pigo kubwa sana kwetu kwa sababu hawa walikuwa mpaka wanamfanya hata Olivier Giroud aonekane ni mshambuaji hatari wakati kiuharisia ni average player ambaye hawezi hata kwenda na playing style ya Arsenal. Slow, dreadful first touch, immobile....
Kukaa hapa na kusema tungeshinda hii mechi wakati hatujashinda ni kujifariji faraja ambayo haina impact yoyote katika uharisia.
Gosh, Sijawahi kuona timu mbovu kutokea katika viunga vya mitaa ya Sir Matt Busby Way, Old Trafford kwa muda mrefu kama hii Man United ya mwaka huu lakini cha kushangaza ndiyo imeondoka kwenye viunga vyetu vya Emirates Stadium na point moja kibindoni kitu ambacho kwa Man United hii ni ushindi.
Ukiangalia na kuchunguza utagundua kuwa tulikuwa tunacheza mpira with fear of the unknown kama vile tunapambana na Man United ya Sir Alex Ferguson wakati wachezaji wa Man United pia walikuwa na wasiwasi mkubwa wa kufungwa as a result, Man United were excellent defending deep and in numbers,
Let's forget and move on kwa sababu kuna makombora Jumapili yako mbioni tena kushuka Emirates kutoka Merseyside saa 16:00 GMT kwa ajiri ya mtifuano wa FA CUP fifth round. Hata hivyo, nina uhakika hiyo mechi tutashinda.
Tukutane tena kwenye kijiwe chetu hiki Jumapili.
Once a Gunner, Always a Gunner.
Poleni jirani!
My friend, let me tell you something. Haijawani kunitokea tukapoteza mechi katika maisha yangu yote ambayo nimebahatika kupata ticket ya kuona mechi kwenye uwanja wa nyumbani (Highbury and Emirates)Ng'wamapalala,
Unajilisha upepo my friend. Sunday mnachezea kichapo tena.
My friend, let me tell you something. Haijawani kunitokea tukapoteza mechi katika maisha yangu yote ambayo nimebahatika kupata ticket ya kuona mechi kwenye uwanja wa nyumbani (Highbury and Emirates)
Kwa vile nimepata tena ticket ya mechi ya sunday, ndiyo maana nimesema hivyo na nitakukumbusha tena Jumapili hapa hapa kwenye kijiwe chetu.
You can take a bet at any betting shop!. Pesa yako haitapotea.
hatari ni zaidi ya mait na hakika hakuna siku ambayo kaniudh zaidi ya jana maana ni wazi kuwa ilikuwa tuchukue point 3 muhimu.
But we have nothing to do coz is the only thing that we have.
.. COYG..
Ni bora YAYA SANOGO aanze kucheza huyu GILOUD ni mzigo tusipochukua ubingwa wa kumlaumu ni WENGER, huyu babu anamtafutia GILOUD namba ya World Cup kikosi cha France kwa gharama ya Arsenal kukosa ubingwa.
nta kaa kimya mpka babu wenger achie ngazi.hatari ni zaidi ya mait na hakika hakuna siku ambayo kaniudh zaidi ya jana maana ni wazi kuwa ilikuwa tuchukue point 3 muhimu.
But we have nothing to do coz is the only thing that we have.
.. COYG..
Chu, ande goshi ulenamakoye.Wewe Msukuma na mpira wapi na wapi!? Wewe kuchunga ng'ombe na kucheza ngoma ya Ugobhogobho!
Bagheshiiii!
Ha ha ha haaaaa!
Pole..siku zote najua we ni mdada...JF bhana tangu kipindi kile cha "mapouda" kule Jamhuri ya Uchina...anyway Girou is unfit for title raceMkuu,mimi ni ME na siyo KE...kiukweli Girou anakera hadi basi! yaani lichezaji halina ball control wala stamina yaani lipo lipo tu kama gari bovu. Nakuhakikishia kama game hii leo angekuwapo Podosinki na Walcott basi tusingekosa ushindi.