Thanks Gunners.
Hatukuwa na jinsi, point moja ni bora kuliko kuchoma mafuta mpaka Southampton na kurudi London na yellow or red card kama ilivyotokea kwa Flamini.
Timu yetu inapokosa viungo ambao ni wazuri katika diffensive and offensive game kama Ramsey, Wilshere and Rosicky huwa tunapwaya sana hasa kama timu pinzani watakuwa ni wazuri katika ball possession.
Huduma kwa Giroud zilikuwa zimekatika kwa sababu Arteta na Flamini hawawezi kucheza pamoja kwa vile football mentality yao ni moja ambayo ni defensive game wakati huo huo Ozil na Kazorla ni wazuri tu offensive game.
Tumeingia kipindi kigumu sana ambacho kinahitaji wachezaji wote wawe salama na hasa kulingana na idadi ya wachezaji tulionao.
I'm happy to take a point back to London.
Once a Gunner, Always a Gunner.