Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 13, 2014 #30,761 Giroud anakosa goli la wazi na ni off target pasi ya Bacary Sagna alitoa kutoka upande wa kulia,
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Jan 13, 2014 #30,762 Ntuzu said: Aya ndugu zng Wazima humu ndani? Leo mkipata droo ni mbaya kweli! Click to expand... Angalia jukwaa lilivyochangamka...unaletewa matangazo live....Mjifunze na kule kwenu muwe mnafanya... Sio mpaka mechi iishe...
Ntuzu said: Aya ndugu zng Wazima humu ndani? Leo mkipata droo ni mbaya kweli! Click to expand... Angalia jukwaa lilivyochangamka...unaletewa matangazo live....Mjifunze na kule kwenu muwe mnafanya... Sio mpaka mechi iishe...
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Jan 13, 2014 #30,763 Coyg....
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,289 Jan 13, 2014 #30,764 Giroud anaonekana leo yuko poa...anatia moyo
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 13, 2014 #30,765 Mathieu Flamini anapanga wenzie na kuwakumbusha majukumu yao uwanjani na kuhakikisha wanawachunga Benteke na Agbonlahor.
Mathieu Flamini anapanga wenzie na kuwakumbusha majukumu yao uwanjani na kuhakikisha wanawachunga Benteke na Agbonlahor.
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Jan 13, 2014 #30,766 Piere. Fm said: Ahaaa mganga njaaa upo?? Unatanga tanga tu humu ndani. Click to expand... Mkuu mi nipo naganga njaa! Nawafanyieni uchuro Leo!
Piere. Fm said: Ahaaa mganga njaaa upo?? Unatanga tanga tu humu ndani. Click to expand... Mkuu mi nipo naganga njaa! Nawafanyieni uchuro Leo!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Jan 13, 2014 #30,767 Giroud hovyo kweli...
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 13, 2014 #30,768 Kona kwa Arsenal
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 13, 2014 #30,769 Mwamuzi anasimamisha mchezo kutokana na kuumia kwa Nathan Baker wa Aston Villa.
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Jan 13, 2014 #30,770 pachanya said: Angalia jukwaa lilivyochangamka...unaletewa matangazo live....Mjifunze na kule kwenu muwe mnafanya... Sio mpaka mechi iishe... Click to expand... Aya Mkuu naona presha Leo imepanda!
pachanya said: Angalia jukwaa lilivyochangamka...unaletewa matangazo live....Mjifunze na kule kwenu muwe mnafanya... Sio mpaka mechi iishe... Click to expand... Aya Mkuu naona presha Leo imepanda!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Jan 13, 2014 #30,771 Dogo Gnabry yuko vizuri sana.....
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jan 13, 2014 #30,772 Ntuzu said: Mkuu mi nipo naganga njaa! Nawafanyieni uchuro Leo! Click to expand... kumbe wewe mganga njaa?
Ntuzu said: Mkuu mi nipo naganga njaa! Nawafanyieni uchuro Leo! Click to expand... kumbe wewe mganga njaa?
Sirm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 561 Reaction score 370 Jan 13, 2014 #30,773 Jamani endeleeni kutujuza! Mbona Ramsey hamjamtaja?
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,289 Jan 13, 2014 #30,774 Jamaa yaelekea kaumia sana
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,289 Jan 13, 2014 #30,775 Sirm said: Jamani endeleeni kutujuza! Mbona Ramsey hamjamtaja? Click to expand... Hayupo kwa benchi la ufundi
Sirm said: Jamani endeleeni kutujuza! Mbona Ramsey hamjamtaja? Click to expand... Hayupo kwa benchi la ufundi
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 13, 2014 #30,776 Nathan Baker anashindwa kuendelea na mchezo na nafasi yake inachukuliwa na Leandro Bacuna.
MpigaFilimbi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 1,169 Reaction score 188 Jan 13, 2014 #30,777 Ina maana dogo kafumua shuti la maana! Huyu jamaa inaelekea ameumia sana!!! Mashuti mengine siyo ya kuzuia....
Ina maana dogo kafumua shuti la maana! Huyu jamaa inaelekea ameumia sana!!! Mashuti mengine siyo ya kuzuia....
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jan 13, 2014 #30,778 Ntuzu said: Aya Mkuu naona presha Leo imepanda! Click to expand... Tupo vizuri leo, hakuna presha wala nini.
Ntuzu said: Aya Mkuu naona presha Leo imepanda! Click to expand... Tupo vizuri leo, hakuna presha wala nini.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 13, 2014 #30,779 Wakuu wa Gunners kitale kimetulia vijana wapo katika mechi ya kuwatoa nishai hawa jamaa walivuruga mambo walipokuja Emirates ..... .... wenzetu kila uchwao wanabebwa na mbeleko chichi ni lazima tuweke magoli ya uhakika .... .... .COYG
Wakuu wa Gunners kitale kimetulia vijana wapo katika mechi ya kuwatoa nishai hawa jamaa walivuruga mambo walipokuja Emirates ..... .... wenzetu kila uchwao wanabebwa na mbeleko chichi ni lazima tuweke magoli ya uhakika .... .... .COYG
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Jan 13, 2014 #30,780 Katavi said: kumbe wewe mganga njaa? Click to expand... Nambie Mkuu! Upo? Nimekuja tena kuwaamsha Mimi kazi Yangu nilimaliza tangu juzi! Arsenal lazima apigwe Leo!
Katavi said: kumbe wewe mganga njaa? Click to expand... Nambie Mkuu! Upo? Nimekuja tena kuwaamsha Mimi kazi Yangu nilimaliza tangu juzi! Arsenal lazima apigwe Leo!