Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,552 Jan 4, 2014 #30,661 Tupe updates kaka mpaka sahiv kulikoni huko
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Jan 4, 2014 #30,662 Rweye said: Tupe updates kaka mpaka sahiv kulikoni huko Click to expand... Kipindi cha pili kimeanza Arsenal 1 Toten 0
Rweye said: Tupe updates kaka mpaka sahiv kulikoni huko Click to expand... Kipindi cha pili kimeanza Arsenal 1 Toten 0
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 Jan 4, 2014 #30,663 Mpira umeanza kipindi cha pili tunapoteza mipira kirahisi na TOT wameweka ngumu na kujaribu mashambulizi
Mpira umeanza kipindi cha pili tunapoteza mipira kirahisi na TOT wameweka ngumu na kujaribu mashambulizi
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,664 Rosickyyyyyyyyyyyyyyyy Arsenal 2-0 Up Dakika ya 62 Thomas Rosicky anamnyang'anya mpira beki wa kati wa Tottenhham Danny Rose ndani ya eneo la Arsenal na kukimbia na mpira kasha kuupaisha juu ya kipa Hugo Rolis na kufunga goli la pili.
Rosickyyyyyyyyyyyyyyyy Arsenal 2-0 Up Dakika ya 62 Thomas Rosicky anamnyang'anya mpira beki wa kati wa Tottenhham Danny Rose ndani ya eneo la Arsenal na kukimbia na mpira kasha kuupaisha juu ya kipa Hugo Rolis na kufunga goli la pili.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jan 4, 2014 #30,665 Richard said: Rosickyyyyyyyyyyyyyyyy Arseal 2-0 Up dakika ya 62 Click to expand... safi sana.
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,289 Jan 4, 2014 #30,666 Rosisky kafurahi sana na kashangilia kwa hisia coz long time hajafunga
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,667 Mathieu Flamini anaingia badala ya Jack Wilshere. Dakika ya 72
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Jan 4, 2014 #30,668 Arteta anatoka Ozil anaingia
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,669 Wakuu Arsenal leo imecheza kama vile ndio first X1 lakini ni timu ingine kabisa. Mikael Arteta anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Mesut Ozil au Ozila!
Wakuu Arsenal leo imecheza kama vile ndio first X1 lakini ni timu ingine kabisa. Mikael Arteta anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Mesut Ozil au Ozila!
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,670 Dakika ni ya 82 na Theo Walcott anaonekana ameumia mguu baada ya kugombania mpira na Danny Ross
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,671 Na Theo Walcott anatolewa akiwa amebebwa kwenye machela lakini inaonekana ni hatua ya uangalifu tu na sio jeraha kubwa. Dakika inaenda ya 85
Na Theo Walcott anatolewa akiwa amebebwa kwenye machela lakini inaonekana ni hatua ya uangalifu tu na sio jeraha kubwa. Dakika inaenda ya 85
M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,593 Jan 4, 2014 #30,672 Richard said: Dakika ni ya 82 na Theo Walcott anaonekana ameumia mguu baada ya kugombania mpira na Danny Ross Click to expand... Hilo kama janga linasogelea timu.
Richard said: Dakika ni ya 82 na Theo Walcott anaonekana ameumia mguu baada ya kugombania mpira na Danny Ross Click to expand... Hilo kama janga linasogelea timu.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,673 Muda wa kawaida wa mchezo huu umekwisha na zinangojewa dakika za nyongeza. Na zimeongezelewa dakika tano.
Muda wa kawaida wa mchezo huu umekwisha na zinangojewa dakika za nyongeza. Na zimeongezelewa dakika tano.
NGUZO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 257 Reaction score 46 Jan 4, 2014 #30,674 Richard said: Na Theo Walcott anatolewa akiwa amebebwa kwenye machela lakini inaonekana ni hatua ya uangalifu tu na sio jeraha kubwa. Dakika inaenda ya 85 Click to expand... Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now.
Richard said: Na Theo Walcott anatolewa akiwa amebebwa kwenye machela lakini inaonekana ni hatua ya uangalifu tu na sio jeraha kubwa. Dakika inaenda ya 85 Click to expand... Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,675 Game over na imeshinda Arsenal 2-0
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,289 Jan 4, 2014 #30,676 To all Haters
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Jan 4, 2014 #30,677 NGUZO said: Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now. Click to expand... Arsene Wenger alimuuliza mmoja wa madaktari waliopo pale bench na akamuhakikishia kwamba sio serious ila atolewe tu kama precaution.
NGUZO said: Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now. Click to expand... Arsene Wenger alimuuliza mmoja wa madaktari waliopo pale bench na akamuhakikishia kwamba sio serious ila atolewe tu kama precaution.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jan 4, 2014 #30,678 Wanachungulia kwa mbaaaaaliiii eti tusijue kama wapo wanasubiri kuvamia na kufanya #Umburukenge wao. Katavi said: Wale jamaa hawajaanza kuja humu. Click to expand...
Wanachungulia kwa mbaaaaaliiii eti tusijue kama wapo wanasubiri kuvamia na kufanya #Umburukenge wao. Katavi said: Wale jamaa hawajaanza kuja humu. Click to expand...
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,289 Jan 4, 2014 #30,679 NGUZO said: Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now. Click to expand... Inaonesha hajaumia kivile si unaona the way akivyotoka nje full shangwe
NGUZO said: Richard majeraha ya Walcot yatatucost tuna injury kibao now. Click to expand... Inaonesha hajaumia kivile si unaona the way akivyotoka nje full shangwe
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Jan 4, 2014 #30,680 Magoli mawili mazuri saana ushindi umesaidia kupunguza idadi ya mechi coz kurudiana ilikuwa ni kuchosha wachezaji. COYG.
Magoli mawili mazuri saana ushindi umesaidia kupunguza idadi ya mechi coz kurudiana ilikuwa ni kuchosha wachezaji. COYG.