Its Official
Arsenal first X1;
Kipa ni Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.
Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Thomas Rosicky na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.
Hivyo Santi Cazorla anampisha Rosicky ambe ni more effective na anaweza kufungua vyumba kwa haraka zaidi kwenye ngime ya Chelsea.
Chelsea:
Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Lampard, Ramires, Willian, Hazard, Torres.
Ni habari njema mkuu vp Theo walcolt hayupo sub.
Mkuu Theo yupo hawezi kukosekana na atakuwa upande wa kulia.
Szczesny, mabeki Bacary Sagna, Kieran Gibbs, Thomas Vermaelen na Per Mertesacker.
Wachezaji wa kiungo; Mikael Arteta, Aaron Ramsey, Theo Walcott,Thomas Rosicky na Mesut Ozil ambae atakuwa akicheza upande wa ndani kulia na mbele ni Olivier Giroud.
hahahaha wabheja kurumba.
Leo mkuu Ntuzu usijekimbia tena.
Naona tumewabana Chelsea tatizo ni kutengeneza magoli.
Subiri kipindi cha pili uanze kuhesabu magoli ya ArsenalGame tight...Arsenal ana 0 attempt wakati Chelsick 7
Subiri kipindi cha pili uanze kuhesabu magoli ya Arsenal
Mkuu Sizinga,
Unaweza kuwa uko sawa lakini nafikir Arsenal leo imecheza vizuri zaidi kuloko mechi na Man City.
Tatizo wameshindwa kumtumia vizuri Theo Walcott ambae ana kasi na matokeo yake Chelsea wapo na furaha kwa kuwa sare half t