Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We haave Mountain to Climb wazee...City ishatukalia kooni
 
Naam! Naam, Naam!

Atimae ile siku iliyokua inasubiriwa Kwa hamu kubwa ya kuwashusha watoto hadi nafasi ya 4 ktk ligi ya EPL imewadiwa!

Arsenal itaingia uwanjani Leo Kwa rekodi ya siku 14 ya kupoteza mechi 2 kubwa na kushinda moja huku mabingwa Wa ulaya Wa kwanza Kwa mji Wa London yaani watoto Wa Darajani matajiri wakiwa Na rekodi ya Siku 14 Kwa kushinda mechi 2 na kupoteza moja!

Naam! Hali ni ngumu Kwa watoto wakiwa kwao Emirates huku wakiwa wamechanganyikiwa Kwa kuanza kuporomoka Kutoka nafasi ya kwanza hadi ya tatu na kuanza kuwapa Mashabiki wao Presha! Ata wale Mashabiki wao waliokua wanashinda kwenye huu Uzi wakiota ubingwa eti kwa kuongoza ligi wameamza kujificha dalini! Teh Teh Teh! Presha!!!

Naam wapenzi Wa kabumbu Leo tunamshuhudia Happy One akiwafundisha watoto SOCCER

Kaeni mkao Wa burudani
 

Tatizo ndugu Ntuzu huwa unapotea baada ya mechi.....kama ile ya Sunderland.....
 
Tatizo ndugu Ntuzu huwa unapotea baada ya mechi.....kama ile ya Sunderland.....

Mkuu Una uhakika na unachosema?

Ila Naona umejibu Kwa upole!!!!

Jamani ndio Hali halisi nyie ni Wa kupigwa tu!
 
Natumaini wataendelea kutoa maoni hata baada ya mechi ya Emirates Stadium

Akina nani kama ni sisi wadau wa Arsenal hatuna kawaida ya kukimbia jukwaa kama wengine. Tupo hapa hata tukipigwa. Muulize Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Nani kakudanganya. Leo tunatoa kipigo cha hatari...

Wewe Acha maneno yako Hiyo!

Mkuu Utaanza kuongea kuongea Cha Kwetu muda so mrefu! Unakumbuka Juzi Mjomba wako Mh Pinda alivyobanwa ukataka kumsaidia Kwa kifipa!

Wewe tulia Leo uone Ghala ya silaha inavyopigwa na kuharibiwa!

Pachele pa ng'anda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…