Mkuu we mpe za Pua tu Mods wamelala sasahivi...:A S-confused1::frusty::A S 2152::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Hili lehu naona linataka kunitafutia ban usiku huu, ngoja nikae mbali nalo...
Mkuu we mpe za Pua tu Mods wamelala sasahivi...:A S-confused1::frusty::A S 2152::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Hili lehu naona linataka kunitafutia ban usiku huu, ngoja nikae mbali nalo...
Naona mashabiki Wa Arsenal mapovu yanawatoka!
Maji ya shingo Leo! Babu yenu Wenger kimyaaaaaa!
Utajijuuu!
Ngozi ya Ben ishaanza kubadili rangi
Tayari amekwishaambiwa habari za Marseille lakini Marseille nao walisawazisha kupitia Diawara kwahio kule ni 1-1.
Hivyo mpaka sasa,Napoli na Dortmund wote wana 10 points na Arsenal 13 points na tunaongoza kundi F.
Acha kuweweseka wewee.
Rambo anaingia Cazorla anakwenda kupumzika.
Haya kijana wa darajani.
Dortmund lazima ashinde Leo msijifariji!Tayari amekwishaambiwa habari za Marseille lakini Marseille nao walisawazisha kupitia Diawara kwahio kule ni 1-1.
Hivyo mpaka sasa,Napoli na Dortmund wote wana 10 points na Arsenal 13 points na tunaongoza kundi F.