At the end they collected all 3 points...bt goodNaona majirani Chelsick wamefungwa goli la mapema zaidi.....Sekunde ya 13
Haya naona Manutd leo ameshinda dhidi ya Tottenham Hongera sana Boss @inziOh! Goons can't stop amazing me!!Ebu nitajie mafanikio ya huyo meneja katika uwanja? Ngoja kwanza, goon, mafanikio katika uwanja ni yapi? Pengine kuna maana ya kipekee ya kwenu goons!!
Halafu, ni ajabu kumpa sifa meneja, na kumsahau kocha katika klabu !!
Oh! Kumbe ndivyo alivyo kwa goons?! Nilifikiri ni suala la nguvu ya pesa katika manunuzi ndiyo mwamuzi?! Kumbe hapo goons, viungo wachezaji wazuri wanaletwa ili kuvutia washambuliaji waje?! Kwa staili basi hakika Januari Cristiano anakuja Arsenal ili amfuate kiungo mchezaji mzuri Nemo.
Mike Dean.....
Boonge la Mbeleko....
Hawa marefa wa EPL hovyoooo
Mkuu mimi bado nina mashaka na Arsenal, ninataka wachukue ubingwa msimu huu. Mimi ni Mancherster United blood ila ubingwa uwe wa kupokezana kwa timu tofauti tofauti. Hapo ndo ligi inanoga. Kwa hio mimi nataka hizi mbio zao ziendelee hivo hivo zisije zikaishia njiani. Nawatakia kila la heri the gunners supportes wa jf, najua ni mda mrefu sana mmeuguza majeraha mmezoea, sisi ndo tunayauguza sasa.Mkuu bado tu una mashaka na Arsenal?
Kakate rufaa....
Poleni Arsenal mmeshindwa tactics. Jifunzeni tactics kwenye kombe hili wanazotumia washindani wenzenu mnacheza soka safi lakini magoli ndio nyenzo.
BigUp sana...ngoja tuone this season huenda tukaokota kwani ni One of the Best start ever for more than 8 seasons...so we hope that, kwani hata wale wagonjwa akona Podolsky wakirudi nadhani itakuwa best team in England football, and we can accomplish the title raceMkuu mimi bado nina mashaka na Arsenal, ninataka wachukue ubingwa msimu huu. Mimi ni Mancherster United blood ila ubingwa uwe wa kupokezana kwa timu tofauti tofauti. Hapo ndo ligi inanoga. Kwa hio mimi nataka hizi mbio zao ziendelee hivo hivo zisije zikaishia njiani. Nawatakia kila la heri the gunners supportes wa jf, najua ni mda mrefu sana mmeuguza majeraha mmezoea, sisi ndo tunayauguza sasa.
NIMECHEKAJE??
MUM: Nipe hiyo bag yangu.
SON: Iko wapi mum??
MUM: Hapo penye Arsenal iko!!
SON: Mum sikuelewi??????
MUM: Aaai! Angalia hapo juu ya table!!