Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Wao ndio wenye kuanza kutaka tuizungumzie team yao,wangenyamaza mbona hii ni sehemu yetu wa Mashabiki wa team ya Arsenal lakini man utd wameona ndio kwao acha tuende nao maana hali yao tunaijua sisiYaani watu mnaizungumzia Man U tu
Hahaaaaaaaa, "Manyu" lazima ile kwao!!!!!Newcastle 2 - 1 WBA! Man u karudi kwenye nafasi yake, at least for the next 24 or less hours!!!
Sikusema kuwa ameletwa Ozil ili kuwavutia wachezaji kwa maana yako wewe hapana Arsenal walimtaka Suarez LFC wakakataa kumuuza tumemnunua Ozil team inaendelea kufanya vizuri
kuhusu suala la Manager kwenye team ya soka nadhani kama ni muelewa ni kuwa anahusika moja kwa moja kwenye usajili wa wachezaji kuliko kuwa football coach
tukienda kwenye mafanikio ana kombe la Gold la ubingwa wa Premier League ambalo hamna club yoyote Uk imeshaweza kuvunja record yake mpaka sasa ninavyoandika hapa JF
au unaswali lingine maana hata usajili wa Ozil ndio bora msimu huu kwenye Premier League
Yaani watu mnaizungumzia Man U tu
but wacheze kila mechi kama walivyojituma dhidi ya Arsenal
Kesho nauhakika Tottenham anashinda dhidi ya Manutd watasema naongea kishabiki lakini ni kwa kuwa uchezaji wa Spurs ni mgumu Manutd kuwazuia na hivi wametoka kwenye kipigo ponya ya Manutd ni sare tu
Thanks Gunners.
We are still marching on and waswahili husema, polepole ndiyo mwendo!.
7 points more than second placed Liverpool.
Tukutane tena on Wednesday, 4 December, 19:45 at Emirates Stadium kugawa vidonge kwa Hull City.
Sisi hatuna meneno mengi kwa sababu siyo debe tupu. Tuwaachie wanaofahamu kuongea nyuma ya keyboard/keypad (nescient football pundit)
Once a Gunner, always a Gunner.
....hahahaha, #YamekuwaHayaLeo?
It's only a Game Buddy!....#MtazoeaTu!
....dahhhh?!....jamaa umekasirika kwelikweli leo ee?
View attachment 124112
....heheheh, mwenzio #akijiua mie simo!
Amekasirika kwelikweli leo Arsenal kushinda,
kha!....
Acha ni log-off kabla hajatoa 'bastola' yake...
Ah arsenal mmeniudhi ... Ona nzi kanunA... Haha ha
Tatizo History mnaipenda sana sasa subiri kesho uone mnavyofungwa na Tottenham au mtoke sare ndio mtasema kuwa tuliwaambiaGoons bana mnavyopenda kujitekenya!!! Sasa unasema #ManUnited uwa anaikamia goons!! Duh!
Goons kwa #ManUnited ni kama mbwa kwa chatu...anajilengesha mwenyewe....United hana haja ya kuwakamia, ila ni goons kuigwaya #ManUnited ndiyo kunapelekea kupewa mkong'onoto tu.....
Chifu, mambo husiyoyafahamu ni bora ukakaa kimya tu....
Ukitoa ushindi wa mwaka jana pale OT, Spurs hajaifunga #ManUnited toka mwaka 2001!!
Head To Head Manchester United Vs Tottenham Hotspur - Tottenham Hotspur FC - SpursMAD
Sasa sijui ugumu gani unaouongelea hapa?!?
Baki na goons yako, husivamie timu za watu na kujiaibisha....
Tatizo History mnaipenda sana sasa subiri kesho uone mnavyofungwa na Tottenham au mtoke sare ndio mtasema kuwa tuliwaambia
Wanakazi ya kuja kutupa history ya makombe wakati timu yao inazidi kushuka nafasi kama history Madrid wana miaka mingapi hawajachukua Uefa champions league na wao ndio wanaongoza kwa kulichukua hilo kombe wakati huu watu wanaangalia timu inafanya nini sio ulichukua mara ngapi bali mnafanya nini sasa wakati wa soka la fedha na ushindani wa hali ya juuHahaaaaaaaa, "Manyu" lazima ile kwao!!!!!
Ni kweli, Umenena Mkuu.Mkuu, vijana wamecheza "game" la uhakika leo na hasa Ozila ambae ndie alipanga vyumba kwa Ramsey na Flamini kufunga. Unajua Flamini hajawahi kufunga tangia mwaka 2008 tulipowafunga Newcastle Utd, cha muhimu tumemaliza mwezi November salama na kinyume cha waliotajia kuona crisis depens.
Kinachotakiwa na uimara au consistency ambayo itatusadia kupita mwezi Decemba salama. Ukumbuke baada ya Hull City tutacheza na Everton tarehe 8 halafu tutakwenda kucheza na Napoli pale Naples tarehe 11 haalfu mtanange wa nguvu na Man City pale uwanja wa Etihad tarehe 14 Decemba.
Baada ya hapo tarehe 23 tunawakaribisha Chelsea Emirates,siku ya boxing day tutakwenda Upton Park kupambana na West Ham halafu tarehe 29 tutamaliza mzunguko wa kwanza kwa kwenda St James Park kukwaruzana na Newscastle Utd.
Tukifanikiwa kuwa juu la ligi by terehe 1 January 2014 basi tutawakaribisha tena Cardiff City Emirates kuanza kumalizia kazi.
Ila kwa sasa ngoma imenoga maana Podolski, Walcott na Ox Chamberlain wote wamerudi na wapo tayari ni mshikemshike tu na tusahau Yaya Sanogo, Abu Diaby na hata Fabianski maana wao ni wa nadra sana kutumika.
Ni kweli, Umenena Mkuu.
Wasiwasi wangu kwa sasa ni kwa baadhi ya wachezaji kuanza kuwekwa kucheza kwenye sehemu ambayo siyo wazooefu ili mradi tu wacheze ili kuondoa manung'uniko.
Muda mrefu sana Arsene hajapata wachezaji wengi wanaocheza sehemu moja ambao wako tayari kucheza. He's facing team selection headache!.
I don't care kama tutaendelea kuchuma point zaidi.
Once a Gunner, Always a Gunner.

Mkuu, vijana wamecheza "game" la uhakika leo na hasa Ozila ambae ndie alipanga vyumba kwa Ramsey na Flamini kufunga. Unajua Flamini hajawahi kufunga tangia mwaka 2008 tulipowafunga Newcastle Utd, cha muhimu tumemaliza mwezi November salama na kinyume cha waliotajia kuona crisis depens.
Kinachotakiwa na uimara au consistency ambayo itatusadia kupita mwezi Decemba salama. Ukumbuke baada ya Hull City tutacheza na Everton tarehe 8 halafu tutakwenda kucheza na Napoli pale Naples tarehe 11 haalfu mtanange wa nguvu na Man City pale uwanja wa Etihad tarehe 14 Decemba.
Baada ya hapo tarehe 23 tunawakaribisha Chelsea Emirates,siku ya boxing day tutakwenda Upton Park kupambana na West Ham halafu tarehe 29 tutamaliza mzunguko wa kwanza kwa kwenda St James Park kukwaruzana na Newscastle Utd.
Tukifanikiwa kuwa juu la ligi by terehe 1 January 2014 basi tutawakaribisha tena Cardiff City Emirates kuanza kumalizia kazi.
Ila kwa sasa ngoma imenoga maana Podolski, Walcott na Ox Chamberlain wote wamerudi na wapo tayari ni mshikemshike tu na tusahau Yaya Sanogo, Abu Diaby na hata Fabianski maana wao ni wa nadra sana kutumika.
....heheheh, mwenzio #akijiua mie simo!
Amekasirika kwelikweli leo Arsenal kushinda,
kha!....
Acha ni log-off kabla hajatoa 'bastola' yake...
Umesahau kuwa hii ni Premier League mzee?? Juzi mliposhinda 5 uliweka bandiko hapa kwamba EPL ni Km 42 wakati UCL ni 1500m, ukaasema in EPL hakuna team ndogo iweje sasa uidharau Cardiff? Au kuona ushindi wa Arsenal is nothing coz the other team ipo 17th position....Acha Unoko kwani Contender has to win all possible games!! Arsenal is sprinting to the title!!What's the fuss lads?
a. Beating a 17th placed team? Or
b. Winning against the team that drew with #ManUnited
I guess it has to be b, cause you can't stop comparing yourselves to #ManUnited
Oh! I guess also it is a totally new experience to goons, staying at the top of EPL! That is why you are insanely excited!
Keep calm down goons....
Mkuu bado tu una mashaka na Arsenal?Tunataka ubingwa! Sio kila mwaka story zile zile. IKifika january au february ARSENAL BADO YUKO JUU KWA POINT HATA SABA TU UBINGWA ATACHUKUA, ILA AKISHUKA KIDOGO TU INAKULA KWAKE. TUNAWATAKIA KILA LA HERI THE GUNNERS.
Sisi hatuna maneno mkuu. Points zilizoko kibindoni ndiyo maneno.Tunataka ubingwa! Sio kila mwaka story zile zile. IKifika january au february ARSENAL BADO YUKO JUU KWA POINT HATA SABA TU UBINGWA ATACHUKUA, ILA AKISHUKA KIDOGO TU INAKULA KWAKE. TUNAWATAKIA KILA LA HERI THE GUNNERS.
Umesahau kuwa hii ni Premier League mzee?? Juzi mliposhinda 5 uliweka bandiko hapa kwamba EPL ni Km 42 wakati UCL ni 1500m, ukaasema in EPL hakuna team ndogo iweje sasa uidharau Cardiff? Au kuona ushindi wa Arsenal is nothing coz the other team ipo 17th position....Acha Unoko kwani Contender has to win all possible games!! Arsenal is sprinting to the title!!