Na ana miaka 40 eti!! Ila sasa hawezi tena kufanya mambo kama hayo....hana tena spidi na uwezo huo....
Ila ni legend wa ligi ya Uingereza, kwa kucheza kwenye timu moja tu hadi sasa; kufunga kila msimu wa ligi toka aanze kucheza; and kushinda vikombe 13 vya ubingwa wa ligi.
#Mburukenge wameshajaa kama pishi la mchele lol!!!! Mburukenge wote kuna haja ya kuwapa honororary membership wa chama letu maana inaelekea kimoyomoyo wanalihusudu sana. Mie kuzuka kipande hii kama kazi.