Hongereni majirani..nilikuwa msibani jamani naona mshaanza kusema nilikimbia jukwaa! #chelseaDAMU
Mentor
Nilikwambia ligi imeanza na ligi ya safari hii ni ngumu
tusubiri January
Where is he?
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Where is he?
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
siwawekee dhamana nyie,mliniangusha kwenu vs Lewandowski,labda ingekuwa Fulham,Hull,Swansea au EPL clubs.Mechi za ugenini siku hizi sina wasiwasi....!
siwawekee dhamana nyie,mliniangusha kwenu vs Lewandowski kuliwa hela yangu na tena birthday ya Wenger siku ile ilikuwa,labda ingekuwa Fulham,Hull,Swansea au EPL clubs.Mechi za ugenini siku hizi sina wasiwasi....!
siwawekee dhamana nyie,mliniangusha kwenu vs Lewandowski kuliwa hela yangu na tena birthday ya Wenger siku ile ilikuwa,labda ingekuwa Fulham,Hull,Swansea au EPL clubs.