Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ya Ngoswe......Nakuelewa chifu....stress za kufungwa tu hizo...
Nimeshakwambia kazi yangu ni kushinda JF na kupost kwenye hii thread...sasa unapotaka nifanye kinyume na kazi yangu, nakuwa sikuelewi ati...
Anyway, United 1 Real 0..12th min..
Ya Ngoswe......
United 1 Real 0..10th minute
Ya Ngoswe........Anayajua Semzaba
Mkuu Wacha hii gemu sikuiona lakini kwa picha ulizoweka nahisi kama hawa BDB walikuwa wakicheza kwa nguvu zaidi kwani kama wangeliweka mpira basi sijuwi matokeo yangelikuwaje
Nimependa Ozil mmoja na BDB wanne
Afadhali hukuiona maana ungepata pressure kwa jinsi mlivyopoteana Ramsi alikuwa anacheza beki tano, Ozil yeye aliamua kukaa kwenye chaki na kila akigusa tu wanachukua mpira wao
He he..nimecheka kweli kwa hii video, made my w-end. Mbu, Oxlade-Chamberlain, BAK, FirstLady1, Questt chakii, Viper, Wacha1, Kweli na wote mashabiki wa Arsenal. Bon w-end pipo!
[video=youtube_share;IaiQuT5Je3U]http://youtu.be/IaiQuT5Je3U[/video]
Uchokozi muhimu kwenye soka🙂 haha...yaani tuna yumba yumba kweli..Aggggrrr!!Hahahahaha lol! Mchokozi weye ehhh!!! Nasikia SAF karudi mtaani lol!!!! Yule More no kawa kama picha tu mambo yote mwenyewe SAF.
Uchokozi muhimu kwenye soka🙂 haha...yaani tuna yumba yumba kweli..Aggggrrr!!
Nasikia RVP ameanza kuweka ngumu sipati picha mwishoni mwa msimu