Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Marseille job, done, tawakaribishe butua butua na wacheza rafu Emirates...

Well done boys, Ramsey kaharibu mwishoni ila sio mbaya...Good times ahead?...Ila Le Prof tena anatuonyesha kuwa yeye anajua na sio ma pundits....
 
COYG!

Wakuu mambo yanakwenda mshindo na tunawasubiri Napoli Emirates baada ya wiki mbili.

Hizi ni mechi ya 6 tunashinda baada ya makosa tuliyofanya tulipocheza na Aston Villa.

Ila Giroud kaumia lakini wanasema wanamchunguza goti lake.

Lakini sidhani kama Stamford Bridge kuna crisis.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona manyoya......Jua kaliwa....

Hongera Gunners.....

Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama....

Mwaka wa shetani.....

mkuu nakumbuka ulivyokuwa unalalamika RAMSEY akicheza nahisi hiyo imeisha swaiba..now you like him..nakuhakikishia hatokaa benchi kwa form hii na habari njema kwetu na ametu prove wrong so far...game 7 mpaka sasa amekuwa man of the match mara 4, amefunga magoli 6....ndugu ebu appreciate basi nifurahi
 
Na bado watakoma mechi ya pili wanakung'utwa naona mambo mazuri tu pale kwenye cowshed. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bado w.end kuna London derby na Fulham wanachezea tena kichapo!!!
 
Ukiona manyoya......Jua kaliwa....

Hongera Gunners.....

Poor Jose....Naona daraja linazidi kuzama....

Mwaka wa shetani.....

Na ukizingatia walivyo wazoefu wa kufukuza makocha cjui mwaka huu itakuwaje pale darajani.
 
Tumetesa kwa raha zetu wasubiri kichapo cha 3-0 in 2 weeks pale Emirates.
 

From now on.......

In Ramsey I Trust......

Nafurahi kuona amekuwa mwepesi kurekebisha makosa yake.....

Alikuwa anabore kila mtu humu.....
 

Theo Walcott akifunga goli la kwanza dhidi ya Olympic Marseille.



Aaron Ramsey au Rambo akigombania mpira na mchezaji wa Olympic Marseille Rod Fanni.


Ramsey akifunga goli la pili kwenye dakika ya 84.

"Goal Machine", Ramsey akikimbia kushangilia goli la pili alilofunga.
 






Stunner: Theo Walcott's volley set Arsenal on their way











At it again: Aaron Ramsey scored his sixth goal
of the season to make it two















Not my game: Mesut Ozil had to do a fair bit of tracking back





Talented: Theo Walcott does his best
to chase Marseille playmaker Mathieu Valbuena






Jack Wilshere put in a combative midfield performance






No foul? A high boot is raised on Mathieu Flamini



 
Nachikia wanoko wanachungulia tu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee imekula kwao.
 



Hard to beat: Steve Mandanda kept Arsenal out until the 65th minute



Ouch: Arsenal felt they should have had a penalty
after a foot was raised on Per Mertesacker









Solid: Arsene Wenger will be happy
that Mertesacker and Wojciech Szczesny kept a clean sheet






Number one: Walcott salutes the crowd after the final whistle




BTW my man of the match kijana Gibbs baada ya kuchomoa goli kabla ya magoli yetu leo alikuwa solid .... ....
 

Crisis ... ... . what crisis hizo ni kwa
Gunners tu baada ya kufungwa mechi moja ilikuwa nongwa .... .... .... still counting. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nachikia Romano kawafuata baada ya mechi kutoa malalamiko yake chacha kumbe Banitez alikuwa nzuri? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngoja waje peas of ants na InvisibleMungiki Brother ndipo mtajua who rules in JF khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bila kumsahau Mentor ing i d i o s khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mathieu Flamini.......

Bonge la middle hili......

Mkuu,

Unakumbuka Flamini alivyokuwa alijitupa kugombania mipira dhidi ya wachezaji wa timu pinzani?

Amekuwa mchezaji kamili na nafikiri anasaidia sana sehemu ya ulinzi na kiungo.

Pia Gibbs leo ameonyesha jinsi alivyokomaa kiuchezaji kwani alikuwa akimchunga na kufuatilia kwa makini jamaa wa OM Valbuena ambae alidhani kwamba angemtawala Gibbs.

Kwa uchezaji wa timu yetu kwa sasa na ukizingatia Santiago Cazorla hakuwepo leo na hivyo kukosa umaridadi kwenye kipindi cha kwanza, tukiambulia points kadhaa mechi dhidi ya Napoli na Dortmund basi tutavuka kwenda kwenye last 16.

COYG!
 



What Ramsey said ..... ...

‘It was a very difficult night. The pitch was sticky
and slow and we couldn't get our rhythm.''
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa MAN U lakini leo ARSENAL wamenikosha sana. Hongera sana ARSENAL kwa ushindi ugenini. Na kwa ushindi huu Arsenal itazidi kuimarika sana.
 
Arsenal at Stade Vélodrome



Go get them ..... .... ...




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…