Tumemkosa Bernard ambae mimi niliamini nimbadala wa Gervihno,
Bado ninaimani kuwa mpaka jumatatu saa sita usiku tutakuwa tumempata Suarez na jina lake litawasilisha UEFA
Sure boy trains alone .... ....
21st century bado kuna wanoko wanafikiria mambo ya kubaniana. SB anataka kucheza CL loser fools wanacheza kwenye Europa
.... .. ooops nachikia hata huko hawapo ... .. Dah! Poleni chana ndio mambo ya historia hayo walikuwepo kina Carl Peters etc
today we take gooners at 17:00 PM tz time
Ngapingapi?....Naomba matokeo mkuu!
Arsenal 3 - Man City 0 75 minutes of play gone! ooh kumbe ulikuwa unataka kutoka kwa mnazi wa matajiri wa Manchester!Ngapingapi?....Naomba matokeo mkuu!