Come on man! It's a FOOTBALL league, and NOT a FINANCIAL league!!!! What have Arsenal achieved in your so called Football Stability? Does that mean winning a "fourth spot trophy" over the years? I would rather trade that "stability" for trophies, anytime. Same old Woolwich Arses, NO AMBITION.
Fellaini Update.
Wakuu gunners usiku wa leo unaweza usiende uzuri kwani kama habari ni sahihi, basi inaonekana Marouane Fellaini amesajiliwa na amekuwa mchezaji wa kiungo mpya wa Arsenal.
Nitaconfirm hapa kama habari zote zitakuja kama inavyosemwa maana timu yetu haipendi kutangaza mambo yake kiholela. Mzee Wenger amekuwa busy mno akifanya mambo yake taratibu na kwa uhakika akitaka wachezaji wenye uwezo hasa na uzoefu.
Arsenal walirudi tena Everton na wakazungumza nao, pamoja na mchezaji huyo na inasemwa kwamba ameingia mkataba wa miaka 4 na anataka kucheza champions league.
Walikuwa wakijaribu kuzungumzia kipengele cha mkataba wake na Everton kinachompa nafasi ya kuzungumza na timu zingine endapo zitajitokeza na kiasi cha fedha kuwa ni si chini ya paundi milioni 20.
Tuzidi kusikilizia na ntarudi tena hapa.
Fellaini ni mmoja wa wachezaji kadhaa ambao Arsenal imewahi kujaribu kuwasajili huko siku za nyuma na haaa pale iliposhindikana na kufanikiwa kumsajili Mikel Arteta mwaka juzi.
vifaa vipya vipi?

Hivi timu inayotegemea sugar daddy kweli washabiki wake wanaweza kupanua kinywa na kusema kitu? inashangaza kuona washabiki koko wa timu kama Chelsick wamekuwa kama ma-zombies yanayorandia kuona Gunners wanafanya nini. You can not buy class, kila uchwao sugar daddy anawanga ati na wao wacheze soka kama la Gunners ... .... .... thubutu!
BTW 1st of July ndio dirisha rasmi kuwa wazi, sasa kuna wanoko wanafikiria kununua wachezaji ili mradi hakuna EPL .. .... ... Gunners wanafuata sheria na wanoko wanaweweseka tuna kikosi imara tayari kuna wachezaji wanaondoka mpunga tumetengeneza chacha chubirini tu muone maajabu. Tutaongeza quality kama jadi yetu sio quantity.
Dogo tunakuheshimu hivo! Ohoo! Anyway ilikuwa msimu wa 2013/14. Subiri uone kazi,maana Prof ana cheki ya £m1 mziki wake utatisha this time
Kila mwaka ni hivyo hivyo tu, mwisho wa msimu wenzenu (Man U) wana jadili ubingwa nyinyi munagombea nafasi ya nne (4)
Mtauza shiling ngapi?
Huu ni ushahidi kwamba Gonzalo Higuain alikuwepo London leo....Wakuu, baada ya pilikapilika za hapa na pale na mazungumzo ya muda mrefu mchezaji Gonzalo Higuain ameweka saini kwenye mkataba na Arsenal FC na atakuwa akilipwa paundi 130,000 kwa wili pamoja na "adds on" kama matumizi ya jina na mengine kufikia paundio 150,000 kwa wiki.
Higuain anavunja rekodi ya usajili uliofanywa kwa Andrey Arshavin mwaka 2008 ambao uligharimu kiasi cha paundi milioni 15.
Arsenal inaweza kutangaza mchezaji huyo siku ya Ijumaa au Jumatatu na anakuwa ni mchezaji wa pili kusajiliwa msimu huu baada ya Yaya Sanogo ambae anatoka Auxerre ya France.
Muda wa usajili ukiwa ndio unapamba moto bado inasemwa kwama Arsene Wenger anafikiria kumsajili Wayne Rooney wa Man Utd au Luis Nani pia wa Man Utd na pia Marouane Fellaini bado anazungumzwa.
Arsenal ina kiasi cha paundi 100 milioni za kutumia kwenye usajili wa sasa na January 2014 kama ikibidi na hiyo ni majumuisho ya milioni 70 zilizoko benki na milioni 30 ambazo zimetokana na kuondoa wachezaji wasiotakiwa kama Arshavin na Squillaci.
Maskauti wa Arsenal wamekuwa na muda mgumu katika soko la wachezaji huku kukiwa na taarifa kwamba mfumo wa kutambua vipaji unaofanywa kwenye mtandao maalum wa OPTA INDEx kuingiliwa na "hackers" ambao wamekuwa wakivumisha habari za usajili ziizo za kweli.
This is it na huu ndio usajili wa maana tuliotaka na inaonyesha jinsi miaka 8 ya bila kikombe ilivyokuwa ikiandaliwa.
Anaefuata ni Cesc Fabregas au Marouane Fellaini.
COYG.
Yaan cku 2kichukua UCL, cjui nitasherekeaje!