Arsenal (The Gunners) | Special Thread


......
Hahaha......
Nipo kiongozi, Niaje lakini pande hizo? Huku shwari Kabisa Jua la utosi !!! Nawasikilizia tu watani na ma meneja wao "wapya" 🙂
 
Mbu za masiku mkuu. Mambo yako bam bam ... .... ..... ... the summer of clear out has started imminently and as I speak Andrey Arshavin, Denilson and Sebastien Squillaci will conclude their contracts and hence the spending will start. Hatudaiwi na mtu wala hakuna sugar daddy anayeweza kutupagawisha. Ngawira zinaingia kama mto Rufiji unavyotiririka kuelekea bahari ya Hindi. .... .... ..... ...

Prof kaficha karata zake chacha wamebaki kila uchwao kutajataja majina ya wachezaji bila kufahamu ni mbinu gani inatumika. Usicheze na Prof. ... ...... COYG
 








Safi sana wanoko wataendelea kuweweseka na Gunners ... .... ... . ... bring another Invincibles. COYG


BTW Gunners sio timu ya kukurupuka kama wengine wanaokula matapishi yao ... ... .
 
Wakulu ninyi tulieni, kuanzia katikati ya wiki ijayo kuelekea mwezi ujao, kutatangazwa usajili wa maana na ndio utakaohitimisha taswira nzima ya timu yetu hii kwa msimu ujao.
 
Ivi!! Mara yamwisho Arsenal kuchukua ubingwa ni mwaka kani vilee?? (naulizatu, naomba nisi tukanwe)
 
Arsenal wanafanya mazungumzo na klabu ya Everton ya Merseyside Liverpool baada ya kuulizia sehemu ya mkataba wa mchezaji huyo inayomruhusu kusajiliwa kwa paundi si chini ya milioni 24.

Ikiwa deal litakubalika basi mchezaji huyo atakuwa ni wa pili kusajiliwa baada ya Yaya Sanogo.

Lakini mpaka sasa habari zote hizi hazijawa kamili mpaka zitakapotangazwa rasmi na Arsenal FC.


Marouane Fellaini

Fellaini amekuwa ni mmoja wa wachezaji waliotambuliwa na meneja Arsene Wenger kwamba ataleta ungangali kwenye sehemu ya kiungo na hivyo kuwa tayari kulipa 24 milioni ikizingatiwa kwamba sasa Arsenal FC inaweza kutumia fedha.

Arsenal iliwahi kujaribu kumsajili mchezaji huyu kwaajili ya msimu uliopita lakini milioni 24 zikawa nyingi kumshawishi mchezaji huyu lakini kwa mara ingine tena anaweza kukubali kwenda Emirates kusakata kabumbu.

Fellaini ambae ana umri wa miaka 25 kwenye msimu uliopita wa ligi kuu ya Uingereza alifunga magoli 11 hivyo kumfanya mchezaji mzuri wa kiungo ulinzi na wakati huohuo kuweza kushambulia mbele.

Habari zaidi motomoto kuja baadae.
 
Ivi!! Mara yamwisho Arsenal
kuchukua ubingwa ni mwaka kani vilee?? (naulizatu, naomba nisi
tukanwe)

Dogo tunakuheshimu hivo! Ohoo! Anyway ilikuwa msimu wa 2013/14. Subiri uone kazi,maana Prof ana cheki ya £m1 mziki wake utatisha this time
 
Hebu nyie wana-Arsenal msituletee mambo ya ahadi kama za chama tawala, Kila mwaka msimu ukianza utasikia 'oh mtacheki mziki wetu safari hii' ligi ikifika katikati mnarudi kwenye kawaida yenu ya kugombea mshindi wa nne! Acheni Maneno mingi mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Mnazidiwa hata na timu iliyoshuka daraja-Wigan (FA), mnatuletea Siasa kwenye mpira, Fukuza huyo Wenger ni takataka kabisa....
 

Utumbo khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
OOps




Nadal anaendelea kufanya vitu vyake kule Paris ... .. ..The King of Clay ... ...
 

Yani hawa jamaa wanajijua kuwa hali yao mbaya ila hawana jinsi lazima wawe wanajifariji hivyohivyo kwa kupiga siasa, kila mwaka kabla ya msimu majigambo kibao na wachezaji wa Arsenal huwa hawakui kila mwaka utasikia watoto watatisha
 

Watatukoma. Dunia huwa hakuna timu yenye Financial Stability na Football Stability kwa pamoja. Ni ASERNAL PEKEE mwenye hiyo sifa. Kwenye EPL na LA LIGA mabingwa wote ki fedha wanapumulia mashine.
 
Watatukoma. Dunia huwa hakuna timu yenye Financial Stability na Football Stability kwa pamoja. Ni ASERNAL PEKEE mwenye hiyo sifa. Kwenye EPL na LA LIGA mabingwa wote ki fedha wanapumulia mashine.

Update

Marouane Fellaini amekataa kwenda Arsenal na anasema yupo sawa pale Everton. Hiyo ni baada ya kuzungumza na meneja mpya wa Everton Roberto Martinez ambae amemuhakikishia kwamba anamuhitaji sana kwenye mipango ya timu hiyo kwa msimu ujao.

Maskauti wa Arsenal wamekuwa na kazi kubwa ya kuhakikisha tunafanikiwa kwenye targets ambazo Arsene Wenger anataka wasajiliwe kabla ya mwisho wa mwezi huu.

Ni mshambuliaji Gonzalo Higuain wa Real Madrid ya Spain ambae Wenger mwenyewe ilibidi afanye nae mazungumzo mchezaji huyo na inasemwa kwamba deal limekubalika na ni kama paundi milioni 20 hivi.

Higuain atakuwa ni mchezaji wa kwanza Arsenal kulipwa paundi 130,000 kwa wiki baada ya Andrey Arshavin ambae alikuwa akilipwa 90,000 kwa wiki.

Wapo pia wachezaji wengine amao wanazungumzwa kwamba wanaweza kufuatwa kama IIkay Gundogan mwenye umri wa miaka 22 wa Borussia Dortmund ambae hucheza nafasi ya kiungo na ikishindikana kwa huyu basi wataangalia kwenye timu ya Bayern Leverkusen ambao wana dogo mmoja aitwae Lars Bender ambae ana umri wa miaka 24 ambae atagharimu kama paundi 24 milioni hivi.

Kwahio Arsenal safari hii si kama misimu iliyopita deals zitafanywa kwa muda unaotakiwa na zitatangazwa kuelekea mwishoni mwa mwezi June kabla ya ziara ya bara la Asia na Emirates Cup ambapo wachezaji wapya wataonekana kwa mara ya kwanza.

Tuendelee kusikilizia habari motomoto kutoka Ashburton Grove Kaskazini mwa jiji la London.
 
Wakuu wa Gunners . .. .... ... wachezaji wanaokuja Gunners tayari wanajulikana na watatambulishwa rasmi mara itikadi zote zitakapokamilika. Gunners wanafanya vitu vyao kwa mpango sio kukurupuka kama fungo wa kwenye cowshed au kule old trashford.



BTW Wiki hii baada ya ushindi wa Rafa kule Paris chacha macho yote yanageukia kule marekani ambako Tiger Woods anatakiwa ku-deliver the Goods kwenye US Open ... ... .kuanzia Alhamisi hadi J2 ... ... stay tuned.
 

Wigan wameizidi Arsenal kwa kitu gani? Acha ushabiki mandazi mjomba
 
Watatukoma. Dunia huwa hakuna timu yenye Financial Stability na Football Stability kwa pamoja. Ni ASERNAL PEKEE mwenye hiyo sifa. Kwenye EPL na LA LIGA mabingwa wote ki fedha wanapumulia mashine.



Come on man! It's a FOOTBALL league, and NOT a FINANCIAL league!!!! What have Arsenal achieved in your so called Football Stability? Does that mean winning a "fourth spot trophy" over the years? I would rather trade that "stability" for trophies, anytime. Same old Woolwich Arses, NO AMBITION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…