Arsenal wamebadilisha nafasi za uchezaji kule mbele, Walcott amekwenda kushoto na Rosicky amekwenda kulia.
Santiago Cazorla amerudi katikati kupika mashambulizi zaidi.
Ramsey analinda back four. Na kidogo asababishe mpira wa adhabu kwa kukwatua Cheick Tiote ndani ya duara la kati ya uwanja.