Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
Huyu mzee sometimes nadhani huwa anatutafutia washabiki presha makusudi kabisa.Tumewachezea hawa madogo sasa wametuchapa. Wenger mwehu haki ya mama. Aliwaacha Theo na Podorsky nje, sasa anawaingiza wakati wa pressure!
Podolsky kakosa naye, nadhani mguu wake umetoboka!
Huyu mzee sometimes nadhani huwa anatutafutia washabiki presha makusudi kabisa.
ox in sagna in dk 80
suppose to be sagna out..