Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Kipa wetu, Fabianski katulia sana golini leo mkuu....duh!!hapa ni bahati ndo hawana hawa munich
Huyu hapaUnamjua Manduki wewe?!? Tungekuwa hatuufahama mpira, tusingekuwa na makombe 19 ya EPL, 3 ya UCL, 2 ya Klabu Bingwa ya Dunia na mengineyo. Yaani nyie Arsenal siyo wa level yetu. #WeeClub
Unaongea kama mgonjwa vile.....kwa kiwango cha Asernal bora watoke tu maana hata wakipita hapa huko mbeleni wataenda kutia aibu tupu,wanacheza chini ya kiwango yaani ni Mungu saidia tu
Kitu 2 up... ..... ... Koscielny ... .....