Jamani huruma WAVULANA wanatolewa na ndio timu ya MWISHO kutoka EPL! Lakini nafuu Arsenal WANATOKA leo kuliko Manchester United Waliotoka JUMANNE iliyopita duuuu aibu ilioje hiyo! Kumbuka KUFA ni KUFA vibaya KUTAMGULIA....
Nkwingwa.....Labda kwa mechi za karibuni ndo umekuwepo lakini kwa siku za nyuma haukuonekana jukwaani chifu....Walioonekana ni Mtaalamu mfarisayo na mheshimiwa sana Manda...Anyways, labda ndio huko kutingwa na majukumu Nkwingwa....
Mentor ni jembe hasa la The Blues.....Iwe mvua iwe jua yeye yupo jamvini...Inawezekana juzi alighafirika kidogo.....Jirani yangu Peasant ndio usiseme, yeye anasubiri mpaka timu ishinde na kuja kuandika kwa mbwembwe KTBFFH
Nakwambia, pamoja na ujembe wake, juzi alikimbia. Kaja kufufuka baada ya goli la Ramires. Nilitembelea jukwaa lao hata mwenyeji mmoja sikumkuta!!
Cc: Mentor
Unamjua Manduki wewe?!? Tungekuwa hatuufahama mpira, tusingekuwa na makombe 19 ya EPL, 3 ya UCL, 2 ya Klabu Bingwa ya Dunia na mengineyo. Yaani nyie Arsenal siyo wa level yetu. #WeeClub
Unamjua Manduki wewe?!? Tungekuwa hatuufahama mpira, tusingekuwa na makombe 19 ya EPL, 3 ya UCL, 2 ya Klabu Bingwa ya Dunia na mengineyo. Yaani nyie Arsenal siyo wa level yetu.#WeeClub
kwa kiwango cha Asernal bora watoke tu maana hata wakipita hapa huko mbeleni wataenda kutia aibu tupu,wanacheza chini ya kiwango yaani ni Mungu saidia tu