Wenger kaishiwa kabisa bado anafundisha mpira wa kizamani sana.
Hana kabisa mkakati unaolingana na Timu pinzani, kocha mzuri ni yule anayepanga Timu na kubadilisha mbinu kulingana na Opponent anayekutana naye that time, huwezi kutumia mfumo mmoja tu kucheza msimu mzima bila kubadilika.
Prof ... ... ... hana wasi wasi na Spurs kurudisha majibu baada ya kula mkong'oto wa goli 5 pale Emirates
Wachezaji machachari walikuwa off duty leo ... ... ..
Wakuu wa Gunners msiwe na wasi wasi tutacheza CL bila wasi wasi ... ..... ...
wanoko walie tu ... .... ... .. ... ... .
Tokea uingie humu leo umeongea point
Sawa stan anaweza kuwa tatizo ila Bodi wakati wa january ilifanya mkutano na Arsenal supporters trust (AST) wakasema wana £70mil na watatumia kusajiri uliona kilichotokea tulimnunua MONREAL na baada ya Fans kumzomea sana Santos na baya zaidi ni tukio lake la Tshirt ya Rvp pale OT
jiulize mechi 5 za mwanzo mwa msimu timu nzima ilikuwa inakaba mpaka ikasemwa kuna "bould's impact" mechi ya sunderland,montpellier,Stoke,southampton,Livepool na Man city baada ya hapo tukapoteana
Hivi game yetu pale OT ungekuwa coach ungewezaje kumpanga santos apambane na Valencia na Rafael? Hapo hapo alifanywa uchochoro na Jefferson Farfan siku 4 kabla? Ungewezaje kumuanzisha Walcott benchi? Mpaka dakika ya 60 hatukuwa na shots on target hata off target we umewahi ona wapi?
Mi nadhani kuna matatizo ya bodi ila hata mbinu za AW nazo ni tatizo nikuulize game plan ya Arsenal dhidi ya Bayern ilikuwa nini?
In arsene we trust? May be
na sasa hivi wamesema wana £123 million kwenye account ila utashangaa summer ikifika wanachukua wachezaji wa £5mil or £10mil badala ya kutoa pesa ya maana kama akina man city/chelsea. Arsenal needs to spend at least £30mil on one player lasivyo mtakua hamshindi kitu
nasikia jana wajomba mmepiga tena mbizi kwenye kokoto...
Mkuu Wacha1, ninakuaminia kwa imani uliyonayo kwa hii timu, mwenzio sijui ni kwa nini nimeshapoteza matumaini yote-sioni kama kuna juhudi zinafanywa na hawa wenzetu kurekebisha hii hali!!
Asee mi naipenda sana gunners lakini nimegundua kuwa kuna watu wanaipenda mara milioni moja zaidi yangu. Wakuu mkumbuke kuwa tunakaribia mwaka wa 10 sasa hatujachukua kikombe chochote! Hizo story za sijui kuna kiasi gani cha fedha kipo kwa ajili ya kusajili wachezaji mbona tunaziskia kila summer? Mbona kila january wimbo ni huohuo? Na AW anasema kila siku atasajili lakini unashangaa hadi deadline ya transfer inafika hajasajili mtu, sana sana utaskia kasajili kitoto cha miaka 15!
Hii timu inaendeshwa kibiashara zaidi which is good for the owner na AW is the perfect man for him, kama unaendesha biashara unafikiria kupata faida na ukiwa na manager kama AW ambaye hatumii hela zako kwa sana kununua wachezaji na wakati huohuo anauza waliopo na kukuletea mamilioni, what else do you want? You never sack him. Lakini haya masuala ya balance sheet na ukubwa au udogo wa deni, they mean absolutely nothing to me kama mshabiki if the team is not performing. AW na board wagundue kwamba mpira ni hela siku hizi- you dont spend- you dont win, its that simple!
For the first time in 16 years we are in a serious risk of missing out on the CL spot, this will hit them hard in their pockets kwa kukosa mamilioni yanayokuja na ushiriki wa mashindano hayo and to be honest- I so hope it happens kwa sababu hata tukishiriki, we all know the highest we can get ni robo final, bora tukose wanunue wachezaji wa maana tujenge timu.
Mkuu wala usiwe na wasi wasi EPL ni mechi 38 baada ya hapo utaona kila timu inachukua nafasi gani. Spuds wala hawaniumizi kichwa mimi tumecheza nao mechi mbili kwenye EPL wametufunga jana na chichi tuliwafunga walipokuja Emirates sasa where is the beef tena sisi tuna extra goals kutoka kwao.
Usione wanoko wamejaa hapa timu inayoogopewa ni Gunners wapo kila kwenye tabloids kisa mipango inayowekwa ni ya uhakika siyo kutegemea sugar daddys.
Mkuu wala usiwe na wasi wasi EPL ni mechi 38 baada ya hapo utaona kila timu inachukua nafasi gani. Spuds wala hawaniumizi kichwa mimi tumecheza nao mechi mbili kwenye EPL wametufunga jana na chichi tuliwafunga walipokuja Emirates sasa where is the beef tena sisi tuna extra goals kutoka kwao.
Usione wanoko wamejaa hapa timu inayoogopewa ni Gunners wapo kila kwenye tabloids kisa mipango inayowekwa ni ya uhakika siyo kutegemea sugar daddys.
Arsenal kuwabomoa Swansea
Imekaa vyema hii, lakini isije ikwa Wenger yule tunayemfahamu akaghairi na kusema kama asemavyo mara kwa mara "Nina kikosi imara cha vijana", hiyo itawalazimu wazidi kuporomoka na kuwaumiza zaidi mashabiki wake wengi duniani. Kingine kwa sisi tunaongalia kandanda kwa nje na ambao tuliwahi kuucheza mpira japo kwa kiwango cha uwezo wetu, safu ya ushambuliaji nayo haina watu ambao wakiwepo uwanjani timu pinzani walinzi wanaaza kutoa shikamoo pasi na kujua wanashabihiana kwa umri. Tunataka kuona Arsenal yenye ukuta mgumu kuliko ule wa Berlin na ushambuliaji wenye kutema cheche kama bunduki za rashasha, safu ya kiungo haina mashaka, ila Arteta anaonesha kuanza kuchoka. Babuuuu naomba kutoa hoja.