Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu kipa wetu wa hvyo kabisa....sijui Wenger anamng'ang'ania wa nini
 
Washasawazisha sasa, sina hamu na kuangalia mechi za timu yangu haki ya mama!!!
 
Arsenal tunasikitisha. Muda wa kugawana jezi huu kila mtu asepe na lwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…