Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pape Reina anapangua shuti la Theo Walcott na kuwa kona isiyozaa matunda.
 
Bacary Sagna anamwachia sana Suarez kwa kupanda sana mbele.
 
Podolski anampa pasi nzuri Olivier Giroud lakini anapiga shuti linaekea nje.
 
Wakuu pamoja na kwamba wametangulia bado naona timu yetu sio mbaya lolote linaweza kutokea
 
Liverpool wanafanya counter attack lakini haizai matunda.
 
What a miss.

Cazorla alitoa pasi ndefu iliyomkuta Lucas Podolski akiwa katika nafasi nzuri ya kufunga na mpira ukaokolewana beki wa Liverpool.

Dakika ni ya 26
 
Uzembe mwingine unafanyika na safari hii Mertesacker.

Mabeki wa Arsenal wanashindwa kujipanga.
 
Is Manone not better than this Polish ---- btn the sticks?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…