Bado najiuliza kwanini AW anakuwa na kigugumizi kukubaliana na Walkot ili acheze kama stricker muda wote. Bila shaka dogo angeshamwaga wino Emirates. Ametokea kuwa mfungaji mzuri kuliko hata hawa signed Strickers!
Nakubaliana nawe kabisa Mkuu Rejao. Imefikia wakati wa Gunners kuhakikisha haipotezi wachezaji wake wazuri. Timu yoyote ile duniani lazima itetereke pindi inapotokea kupoteza wachezaji wake sita/saba wa first eleven. Imagine kama wote wangekuwa bado wako Gunners saa hizi tungekuwa tunatesa kwa raha zetu si katika EPL tu bali hata UEFA.