Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ningekuwa AW... Beki ya kushoto ningemchomoa Santos, Then TV akacheza kushoto kisha KOS akaingia.... Santos anavuja saaaana.....Jamaa washajua njia....
 
Naruhusiwa kutoa pole in advance?
Subiri dakika 90 ziishe ndo uje utupe pole ama utupongeze.......Umesahau last week matokeo yalivyobadilika dakika za mwisho ikawa Chelsea 2-3 Man Utd
 
Ningekuwa AW... Beki ya kushoto ningemchomoa Santos, Then TV akacheza kushoto kisha KOS akaingia.... Santos anavuja saaaana.....Jamaa washajua njia....
Na ndiye anatugharimu.......Kazidiwa kabisa na Valencia na mashambulizi yote yanapitia kwake
 
Mkuu haya ndio matokeo ya kuwa na meneja anayeitwa AW akishtikiana na Team management ambaye katika usajili wa kila msimu anazidi kuishusha hadhi timu kwa kupoteza wachezaji wazuri na kusajili magarasa. Tuombe Mungu tu tusitundikwe 10 kwa nunge

Dah!...............

Tunashambuliwa sana.......Ngoma nzito........

Vito Manonne anafanya kazi ya ziada leo....Beki yetu imepwaya
 
Santos anazingua kule kushoto, Wenger vipi hajaona hiyo?
 
That was OG with the header Trial.... Kazi Ipo......
 
Santos anazingua kule kushoto, Wenger vipi hajaona hiyo?

Katavi ameona toka game ya Norwich na Schalke wakaja QPR tatizo ni kuwadekeza wachezaji kufanya " Try and Errors" kama alivyokuwaga kamgang'ang'ania ALMUNIA na SENDEROS
 
Last edited by a moderator:
Ramsey hakuna lolote analofanya uwanjani...........Theo Walcott

Dah!
 
Giroud anapotzea mpira anaanza kutembea badala ya kukimbia kukaba........Kalegea sana huyu mtu
 
Hand ball?............Ball to the Hand?.....................Confused
 
Manure wanabebwa hapa penalty ya bure Mike Dean huyo ooo oo goli la matuta ... .... ... wine Romney anakosa ... ...

Prof atabadili mpira kipindi cha pili goli lao lilikuwa ni fortunate tu .. .. ... ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…