Wakuu mambo yako sawa kabisa vijana wako ready kukwaana na hawa Wajerumani .... ..... .... bila shaka wala hofu utakuwa mtanange wa kukata na shoka, natumaini kuwahi kuweka picha baada ya kabumbu .... .... .... .. wanoko ooops machabiki koko waliokimbia jana kwenye timu zao, I do not mean Invisible 's, Mungiki brother or Peas of ants let alone Belo, Manda, Mfarisayo or BJ watakuwa tele kama pishi la udaga, bahati yao nitakuwa uwanjani lakini tutapambana nao tu baada ya mechi. OOps Rev. Kishoka are you alive?
Gunners forever ... ..... .... Prof. atamaliza kifungo chake leo cha three match ban hivyo mikoba yote kaachiwa Bold ... .... ... .... ....