Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Chelsick ile back to back ya mwaka jana aliwauma sana ndio sababu leo walimpa mpunga refa mapema, tutaona hizo mbio zao za mpunga sitaisha lini. Hata Mungiki Brother nimemuona ati naye amekwisha toka Kibera ... ..... ............. majibu yanawasubiri kwenye cowshed yenu.
Level pegging: Gervinho slams home the ball to score
Arsenal's equaliser just before half time
Slowly Arsenal found their rhythm again.
Pat on the back: Gervinho celebrates his goal
for Arsenal with Alex Oxlade-Chamberlain
Chance: Olivier Giroud missed an opportunity
to level the scores in the final minutes
Hahaha! Alidhan 'invinsibles' n kazi rahis ka ku dive? Shenz, na msimu huu arsenol waisahau top five...mark my words.
hii ni mechi ya 16 refa huyu Chelsick hawajafungwa iko kitu
Lete picha
Sababu ya AW kwa kuloose game ya Leo....[h=1]'Defensively we were not at the level needed'[/h]Swala ni hakujua hili kwa kumuacha PER nje na kumtumia Mfaransa mwenzie???????
Okay inawezekana but we will finish above you,sasa sijui wewe utakuwa wangapi!Hahaha! Alidhan 'invinsibles' n kazi rahis ka ku dive? Shenz, na msimu huu arsenol waisahau top five...mark my words.
Acha kuudanganya umma...
Ooops sor mnafarijiana naona...go on!
Mkuu nipe matokeo ya Man Utd na Tottenham pale Old Trafford........Sijaangalia mechi hiyoHahaha! Alidhan 'invinsibles' n kazi rahis ka ku dive? Shenz, na msimu huu arsenol waisahau top five...mark my words.
Mkuu nipe matokeo ya Man Utd na Tottenham pale Old Trafford........Sijaangalia mechi hiyo
wewe mentor tafuta data utaona refa huyo vipi na Chelsick
Wamepigwa 3-2
Bado tunasubiri Giroud azoee ligi ndio aanze kuscore? Why Wenger kamweka Per Metersaker nje??