yuppie boy
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 213
- 49
Balaa verminator, kolcienly kulia jenkson sagna hajipange.Turudi nyuma,tulikuwa tunam-force wenger kununua central back mpya,situation ya sasa tu inamchanganya wenger nani akae benchi na nani acheze.
chances gervinho alizomiss angekua RVP mngeshinda...ndio mjue strikers mnae mmoja tu podolski wengine wote wanashoot hewa...well done tho... takin points off man city was brilliant....WELL DONE :biggrin1:
Game ya Pili Ngumu still UNBEATEN...... Tukiwapiga Chelsea then hiyo itagua a very great Confidence BOOST kuliko VIAGRA inavyoboost......... Happy with the away Point.... Nawatakia usiku mwema wadau wote mlioshiriki jukwaa hili its 2.00hrs and am getting Undercovers..... See u then....
LIVERPOOL AWAY - CHECK
MAN CITY AWAY - CHECK
MANURE & CHELSICK TUTAJIPIGIA TU!
NOW LET US concentrate NA UNDERDOGS ! ?
Hongereni kwa kuendeleza ''clean sheet' wakuu Oxlade-Chamberlain, BAK, Viper, Rejao, Questt, Wacha1, MwafrikaHalisi ..etc
Sina la zaidi la kusema!..khe khe khe
Arsenal vibonde wetu always and they know that.. Nyie msitufikirie sie, mna aston villa the evertons n norwich to think about
nimekuwa msomaji kwa muda mrefu katika uzi huu kama mpenzi wa Arsenal.....lemme officially join this family
Once a gooner...always a gooner
Arsenal vibonde wetu always and they know that.. Nyie msitufikirie sie, mna aston villa the evertons n norwich to think about
Hiyo Clean sheet utaiona tutakavyokutana!!! Subiri......Hongereni kwa kuendeleza ''clean sheet' wakuu Oxlade-Chamberlain, BAK, Viper, Rejao, Questt, Wacha1, MwafrikaHalisi ..etc
Sina la zaidi la kusema!..khe khe khe
welcome to the family brother! majonzi... furaha... ups & down toka uzi uanze 2006 goners tunakuwepo hapa.. hatukimbii uzi!
COYG!
Arsenal vibonde wetu always and they know that.. Nyie msitufikirie sie, mna aston villa the evertons n norwich to think about
mtotowamjini hayo mambo ya historia waachie Liverpool. Sisi tuongee ya wakati huu. Tuonane November 3rd
:biggrin1: alafu nov 3rd naona mbali...wish tungekua tunacheza next weekend...nina hamu sana na nyie
mtotowamjini hayo mambo ya historia waachie Liverpool. Sisi tuongee ya wakati huu. Tuonane November 3rd
I will Bookmark this