Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nshasema kama wakikomaa kudefend ni TANO ila wakizingua then hawa tunawapiga WIKI.... Gevinho la tatu..... Ni sooooo
 
itakuwa safi tukitoka na clean sheet ili haters wazidi kuumia
 
Huyu mtoto mguuni kaweka nini??? Cross yake ya pili hawa jamaa Wanajifunga.... Its 4-0 hapa....
 
Tatizo la hii timu yetu ndio hapo kuruhusu magoli ya kizembe, unaweza kushangaa yakarudi yote hayo...
 
ebana ingawa tunaongoza bao nne! jamaa walivyorudisha kimoja tu! hizo sms nilizotumiwa!! eti ohh! mshaanza kufungwa sasa! haters walikuwa wanasubiri wavu wa goners utikiswe tu! kumbe ile cleansheet ilikuwa ikiwauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…