Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
RVP mbona haondoki tu?
Ila kaumri kameenda!!! Naona wenger ameamua kurudia zile enzi za vibabu akina Martin keown, winterburn, Lee dixon, Tony Adan, Ray pouler. Mungu ibariki ArsenalSanti Cazorla signs for Arsenal
TOP SANTI ... Cazorla with Arsenal shirt
SANTI CAZORLA has finally completed his £16million move to Arsenal from Malaga.
The Spain midfielder, 27, becomes the Gunners' third major signing of the summer.
Strikers Olivier Giroud and Lukas Podolski joined the club earlier this year.
Cazorla's transfer has long been expected and he is expected to make his debut in a friendly with Cologne on Sunday.
Kwa vifaa vilivyosajiliwa unaweza kusikia ameamua kubaki
So what is the issue here?RVP anaondoka mtake msitake...Arsenal are now a selling team. Clichy, adebayor,nasri,fabegras. just imagine leo hii hao wachezaji wote wangekuepo nafikiri arsenal ingeshashinda ligi...babu mbahili hataki kutoa pesa matokeo yake wachezaji wanakimbia..hao players arsenal waliowanunua sio wa kushinda ligi uk..ile ligi ni ngumu acheni...hao wachezaji watacheza game hata 10 hazitafika utasikia wameumia wako nje kwa miezi 6..
hata hh SHINJI KAGAWA na POWELL ndio wanaweza shinda ligi? JELOUS tu huna lolote kafanye comments zako kwenye thread yenu tuachie timu yetu....kocha wenu anababaika sasa hata haeleweki watu wamemchukua MOURA na blank cheque chezea pesa za mawese weweeeeeeeeeRVP anaondoka mtake msitake...Arsenal are now a selling team. Clichy, adebayor,nasri,fabegras. just imagine leo hii hao wachezaji wote wangekuepo nafikiri arsenal ingeshashinda ligi...babu mbahili hataki kutoa pesa matokeo yake wachezaji wanakimbia..hao players arsenal waliowanunua sio wa kushinda ligi uk..ile ligi ni ngumu acheni...hao wachezaji watacheza game hata 10 hazitafika utasikia wameumia wako nje kwa miezi 6..
Tutatisha tu mwaka huu.
Najua una hasira kwa kua arsenal haijashinda kombe toka 2005 mlishindwa hata kuwafunga birmingham kwenye carling cup final so najua una hasira na wachezaji mlio nao wengi ni majeruhi abou diaby anachezaga games ngapi kwa mwaka na that english guy ambae mwaka mzima anacheza game moja.. Ngoja muone mwaka huu red devils wanavyochukua ligi
washabiki wa United wakianzia na Red nose(Fergie) wameshogopa Usajili wa wenger kwani kama miaka yoote Anatumia Pesa kidogo+makinda na anamaliza Kwenye CL zone...sasa mwaka Huu ambao amekwenda kununua Experienced world class Playerz wameanza MAWENGE....We Fergie anamjua mwenzie AW uwezo wake thats why anataka kui weaken Arsenal Lol
Bora aondoka January kwenda AC MILAN hata Spain lakini sio England pale.!
Miaka yote tunamlaumu wenger kwa Ubahili lakini msimu huu hakuna hiyo Blame! BRING sahin then we are Ready to Rumble