Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo wachezaji wetu hawataki kujaribu kwa mbali......Hasa Song
 
Huyu Balotelli aende akalale kabisa asirudi 2nd half maana red card inamuita.
 
AW akirudi 2nd half inabidi afanye sub fasta amtoe muisrael aingie OX au gervihno
 
city anafungika... tunahitaji more attacking power ...
 
Mancin kama anapenda kumaliza na wachezaji 11 basi amtoe Baloteli
 
inahitajika mipango ya ukweli pale mbele vinginevyo ushindi wa leo utakuwa ball posession
 
hapo ingekuwa mechi za ndondo,beki anamshika baloteli makalio au anampiga finga kabisa,akipanic tu kadi nyekundu!ni kosa mancini kumrudisha!
 
Song anaharibu moves. Yuko slowly and unsure. hawa man shitty wanafungika wakuu ila sema basi tu inakosekana link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…