Arsenal Pre seasson

Bado wingu limetanda emirates tuendeleeni kuomba Mungu.Naona Almunia bado yupo tu huku timu kama WBA wana bid Shay Given.kuna uwezo mkubwa WBA wakawa na kipa mzuri kutushinda lol.

Poleni sana. Wenger ni kocha mzuri sana na I like his brand of football, lakini nae inabidi abadilike and he has to spend for the big names. Mfano hata Fabregas na Nasri wikiishia then he can make a big statement by signing Juan Matta, Sergio Aguero, Thiago Motta, Gervinho na apate full back na center back na kipa.
Tatizo hawa non-british players hawako loyal na timu zao. Angalia Torres, Mascherano, Adebayo, Saha etc. wanachojali ni mshiko. Labda ndio maana Liverpool wameamua kusajili british players. Otherwise mtabaki kuwa just a football academy
 
Poleni sana. Wenger ni kocha mzuri sana na I like his brand of football, lakini nae inabidi abadilike and he has to spend for the big names. Mfano hata Fabregas na Nasri wikiishia then he can make a big statement by signing Juan Matta, Sergio Aguero, Thiago Motta, Gervinho na apate full back na center back na kipa. Otherwise mtabaki kuwa just a football academy
Ndio maana tupo tu mkuu tunatazama tu kinachoendelea, roho juu.
 
Ndio maana tupo tu mkuu tunatazama tu kinachoendelea, roho juu.
Tatizo hawa non-british players hawako loyal na timu zao. Angalia Torres, Mascherano, Adebayo, Kolo, Saha etc. wanachojali ni mshiko. Labda ndio maana Liverpool wameamua kusajili british players tuu
 
Tatizo hawa non-british players hawako loyal na timu zao. Angalia Torres, Mascherano, Adebayo, Kolo, Saha etc. wanachojali ni mshiko. Labda ndio maana Liverpool wameamua kusajili british players tuu

gervinho tayari bana ... wanasuburi kumtangaza... na nimesoma katika daily mail ni tetesi kwamba wenger ataspend big kwa karim benzima around £27million baada ya hapo ataangalia ustaarabu wa beki kule nyuma....
 
Akimleta Aguero, Matta, Benzema na Ribbery mtakuwa na timu bomba sana. Bila kusaha kipa mzuri, problem ni kuwa makipa wazuri ni tabu sana kuwapata siku hizi. Yule mzee Van Desar ManU watammiss sana na yeye ndio aliwapa ubingwa last year. Najua this year itakuwa vigumu kuliziba pengo lake.
 
Bado wingu limetanda emirates tuendeleeni kuomba Mungu.Naona Almunia bado yupo tu huku timu kama WBA wana bid Shay Given.kuna uwezo mkubwa WBA wakawa na kipa mzuri kutushinda lol.

Tatizo cc wa arsenal kila msimu unapoanza 2natangaza: "msimu we2 huu" lakini mwisho wa msimu 2naanza mchangani kwe champions league! its funny! hata hivyo kiukweli MSIMU HUU NI WE2 CC WA THE GUNNERS SUBIRI MUONE!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom