Arsenal kukesha wakisherehekea

astrologist

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
221
268
Club ya Arsenal ya England kukesha leo usku, hii ni baada ya kufungwa goli tano kwa moja. Wanakesha kwa sababu ya kusherehekea kufungwa goli moja tu na Liverpool kipindi cha pili . Kwani kipindi cha kwanza walifungwa NNE- MOJA. Hivyo basi walidhani wangefungwa goli nane jumla . Ila kipindi cha pili wamefungwa goli moja, hivyo mkesho huo ni kujipongeza kufungwa goli moja kipindi cha pili.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom