Army ready to defend Malawi says MDF Commander Odillo

Even Saddam Hussein was telling his people the same things about US marine!!
Banda and Odillo should it!!
Did you expect him to say something different from what he said? That is the "standard" statement which even the most coward army commander would provide. Ha ha ha ha ha!
 
Hao akina M7 unao waabudu maana ni ndugu zako walijifunza wapi jeshi? kwenu Rwanda? Nyie ndiyo wasaliti mmechukua uraia wa Tanzania mnatuletea matatizo,hao wote unao waabudu wamejifunza jeshi Tz

Mkuu hao Wanyarwanda wanajulikana hata kama wamepewa URAI, wasifikili ukarimu wa Watanzania unatufanya kuwa vipofu, wana angaliwa (monitored) closely.
 
Waswahili wanasema mbwa ukimzoesha mikono sana atakufata hadi msikitini, hawa jamaa biashara ya kwenda kutangaziana colgate has to stop, sasa tuwaoneshe tumejiandaa zaid kivita kuliko diplomasia watarejea kwa huyo alowatuma wafanye tena home work zao. Otherwise tukubali kushindwa tu
 
Back
Top Bottom